Mohammed Ali wa Jicho Pevu atangaza kujiuzulu uanahabari, kuwania ubunge Nyali kwa tiketi ya ODM

Kiukweli huyu jamaa tangu nimjue ameniteka sana kwa makali zake zisizo na chembe ya uoga. Mohammed Alli ni wa kipekee sana kwa kweli
Leo hii ni nadra sana katika vyombo vya habari kupata sauti ya wanahabari shupavu, kila mwanahabari ana maslahi yake hawajali kama wanahabari wa zamani..!
 
Kabisa mkuu.!

Taaluma hii imevamiwa na watu wasiothamini kazi hii, kwa akina Ali kwao ni mwito ila kwa wengine ni biashara na maslahi

Kila nikitaza runinga nashangaa kuwakosa maripota kama Mohamed Ali.
 
Jamaa yuko vizuri sana.Makala zake ni nzuri. Kama akipata ubunge nina hakika atawakilisha vyema wananchi wake
 
Kabisa mkuu.!

Taaluma hii imevamiwa na watu wasiothamini kazi hii, kwa akina Ali kwao ni mwito ila kwa wengine ni biashara na maslahi

Kila nikitaza runinga nashangaa kuwakosa maripota kama Mohamed Ali.
wengi sasa hivi hawawez kutafuta habar,sana sana atachungulia Jf,CNN,BBC nk ndio maana ukiangalia magazeti mfano asubuhi yote kichwa cha habar ni kiomja tu,yaani unaweza tabiri kesho wataandika nini alafu nyingi hazijengi,Alli ana utaalam wa kutafuta habari adimu na alikuwa anajitoa kweli kweli
 
Taarifa za leo zimejaa ukakasi mwingi sana, waandishi hawaulizi masuali ya maana kwa viongozi kwa vile njama za kuwalinda watu au Serikali zimeandaliwa ili kulazimisha agenda zao..!

Badala ya kupiga vita dhulma, ufisadi na rushwa na ukandamizaji wa aina yoyote ile, lakini ndo kwanza wanapoteza imani wananchi
 
Kwani habari ya, uchunguzi bongo, hawapo
Kubenea si hua, anaripoti habari za kiuchunguzi mkuu
 
Mohammed Alli alikua vizuri sana kwenye habari za uchunguzi hasa ile ajali ya helkopta issue ya saitoti na kwahuku kwetu aliyekua ajitahidi alikua Muro ingawaje alipata vigingi vikamkwamisha
 
Mohammed Alli alikua vizuri sana kwenye habari za uchunguzi hasa ile ajali ya helkopta issue ya saitoti na kwahuku kwetu aliyekua ajitahidi alikua Muro ingawaje alipata vigingi vikamkwamisha
Uchunguzi wake katika habari ulikuwa wa kiwango cha juu mno..!

>Gururi la Saitoti
>Zilazila la Westgate
>Timbwili la Lamu
>Kaburi la wazi (Jacob Juma)

Sidhani kwa sasa kama kuna wanahabari anayeweza kufanya hayo bila uoga.!
 
Alianza Baoniface Mwangi now Moha amefuata nyayo naona wanaharakati wameamua kujitosa kwenye siasa

Sent from my NokiaX2DS using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…