Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Leo hii ni nadra sana katika vyombo vya habari kupata sauti ya wanahabari shupavu, kila mwanahabari ana maslahi yake hawajali kama wanahabari wa zamani..!Kiukweli huyu jamaa tangu nimjue ameniteka sana kwa makali zake zisizo na chembe ya uoga. Mohammed Alli ni wa kipekee sana kwa kweli