Mohammed Deif: Mfahamu kiongozi wa Hamas anayewanyima usingizi Israeli

Hamas imeundwa 1987 baada ya uprising ya wapalestina huko ukanda wa Gaza iliojulikana kama "Intifada". Hio miaka ya 80s kabla ya Intifada kulikua hakuna Hamas kulikuwepo Al Fatah . Sheikh Ahmed Yasin ambae alikua mlemavu ndie alienzisha Hamas 1987.
 
Mjukuu wangu ananambia anawaunga mkono Wapalestina 100% na anazitunguwa ndege za wayahudi bila huruma, kanitumia clip hii:
Your browser is not able to display this video.



Watakoma ubishi shenzi taipu mayahudi hao.
 
Mjukuu wangu ananambia anawaunga mkono Wapalestina 100% na anazitunguwa ndege za wayahudi bila huruma, kanitumia clip hii:
View attachment 2777921


Watakoma ubishi shenzi taipu mayahudi hao.
Haaaahahaa unatuletea video game sio, Netanyahu kasema huo ni mwanzo wanataka Gaza ibaki majivu tu.Kingine hujui kuwa Israel waliachia huu msala makusudi ili wapate sababu ya kuimaliza kabisa Hamas kwa miaka 100 ijayo. Hii mbinu ya kijasusi sio kwamba walishindwa kuwazuia walikua wanataka sababu ya kuuwasha moto kuwamaliza hao Hams kama ulikua hujui.
 
H
Hilo wala lisikupe shida, wapalestina walishasema heri kwao wafe huku wanaipigania ardhi yao kuliko kufa huku wamejikunyata.
 
Hata akiuwawa misheni alishaikamilisha

Amani ya kudumu itapatikana middle east ikiwa palestina wataitambua israel na israel kuitambua palestina

Hilo ndio solution ya kudum

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wakiishi kwa utawala wa majimbo kuna shida gani ni ukorofi tu wa wapalestina

Israel ina waarabu waislamu wanaishi sehemu mbili ndani ya nchi ya Israel.Kundi la kwanza la waarabu waislamu wanaishi Palestina kundi la pili la waarabu wengi wanaishi Nazareth eneo lililo ndani ya Israel na hawasumbuani hata siku moja na Israel wanajihesabu kama jimbo ndani ya Israel na wao pamoja na kuwa waarabu lugha kuu yao ikiwa kiarabu na misikiti ikiwa kila kona hawana ndani ya Nazareth ugomvi na wayahudi

Shida iko kwa waarabu waoslqmu wa Palestina Palestina wanataka kutambuliwa kama nchi.Ni kama mkoa wa kilimanjaro upiganie.kujitenga kuwa nchi kamili.ndani ya Tanzania wagome kuwa Jimbo

Solution kwao wapalestina ni kukubali kuwa jimbo ndani ya Israel. Israel hawataki nchi yao igawanyike kuwa nchi mbili.Lakini kwenye majimbo hawana shida.Marekani wana huo mfumo,na nchi nyingi zina guo.mfumo.ambako.jimbo.linajisima katika kila kitu.kasoro maswala.machache ya muungano
 
sasa, hivi watatoa wapi tena pesa za kujenga yale magorofa upya? israel ameteketeza, yaani pale yote yanatakiwa kujengwa upya.
 
Umeandika kiushabiki sana halafu hujui historia ya huu mgogoro

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…