carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Sasaaaa... akitoa lawama na asipotowa ni lawama piaTajiri ana mahesabu yake nyie furahieni tu hizo pesa🤣🤣🤣🤣
Sasaaaa... akitoa lawama na asipotowa ni lawama pia
Hizo ni enzi za mwalimu...kwa sasa mambo ya wazi kila kitu kinaenda kinavyotakiwaZitakazo fika kwa wachezaji labda 400 tu. Zingine genge la magori
Sasa mahesabu ya nini maana ni kama unatoa taadhariWapi nimemlaumu?
Hizo ni enzi za mwalimu...kwa sasa mambo ya wazi kila kitu kinaenda kinavyotakiwa
Tajiri ana mahesabu yake nyie furahieni tu hizo pesa🤣🤣🤣🤣
Sasa mahesabu ya nini maana ni kama unatoa taadhari
Hizo zote kanaziweka kwenye hisa za Simba, mwisho wa siku katasema kanawadai simbaRaisi wa heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewji ameendelea kuihakikishia Simba maandalizi bora, ndani na nje ya Tanzania huku akiweka nguvu kubwa katika kuwapa mashabiki nafasi ya kufurahia na kusherehekea mapenzi hatua kubwa kwa timu yao.
Siju ya Jana Wanasimba walikutana pamoja Mwenge kutazama mechi yao ya CAF CL kwenye Big Screen , huku Wachesaji wakizawadiwa Milioni 200 za bonus baada ya ushindi , bado kuna Milioni 200 nyingine inawasubiri kama watashinda mchezo wa Wikiendi hii.
Hadi kufikia leo Dewji ametoa zaidi ya Bilioni 1.3 kama bonus kwa mechi chache ambazo Simba walihitaji hamasa zaidi
Chanzo : Shaffih Dauda
Streika la boli DOUMBIA vipi hatoshi?Hiyo hela bora angenunua striker halafu tukaongeza kwenye 20b
Hakuna hela za bureHizo zote kanaziweka kwenye hisa za Simba, mwisho wa siku katasema kanawadai simba