Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

Mohammed Dewji: Jana tumefungwa Magoli, leo tumefungwa Midomo

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO.

Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.

Screenshot_20230219-231653.png
 
Na msimu huu nao utapita hivi hivi. Hakuna kikombe ambacho simba itakipata. Wakija kushtuka, watajikuta wapo level ya African Lyon.
 
Back
Top Bottom