Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Inauma sana ndugu zangu[emoji24][emoji24]View attachment 2523572
[emoji23][emoji23]
Sasa achezee akili ya utopolo ili apate niniHuyo anachezea akili za utopolo tu.
kasema kweliSiyo maneno yangu, ni ya big boss MO.
Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
View attachment 2523569
Muddy thimba guvu moya.Siyo maneno yangu, ni ya big boss MO.
Kesho kutwa Mo na Azam kama TFF haitawaonea huruma na kuhairisha mechi kwa kichaka kuwa mnashiriki kimataifa.
View attachment 2523569
AhahaaahMuddy thimba guvu moya.
Yeye ana 49% tu.HUYU BAHILI NAMBA MOJA AFRIKA.
Anaidhalilisha sana Simba
Kaichukue wewe.HUYU BAHILI NAMBA MOJA AFRIKA.
Anaidhalilisha sana Simba
Mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Na msimu huu nao utapita hivi hivi. Hakuna kikombe ambacho simba itakipata. Wakija kushtuka, watajikuta wapo level ya African Lyon.