Mohammed Dewji MO ampa Kongole Kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri

Mohammed Dewji MO ampa Kongole Kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi.

"Hongera Kocha Sven kwa kazi nzuri. Kwa kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa Jumapili na watani wetu. Lengo letu kuwa mabingwa Insha'Allah tutafanikiwa".

Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Instagram.
FB_IMG_1583426535430.jpeg
 
Kwakweli kwa wale wote waliokuwa hawana imani na huyu Kocha Vanderbroeck, wamtake radhi

Zile gongagonga kama Bruce Lee, Kung, Kung, zimetokea jana yaani ushindi sambamba na burudani

Hii ndo Simba ya ni Next Level
 
Kocha piga kazi.Jumapili tukate kabisa haya mazoea wanayoyaleta utapiamlo fc.Kama ukiweza waruhusu vijana wetu wawatafune mbute fc goal 5 ili wakome kutuzoea.
 
Boss inabdi amtafutie kocha walau suti maana kocha wa mabingwa mara20 mfululizo hatakiwi kuvaa ivo
 
Utopolo timu hawana, lakini wanatumia muda mwingi kulalamika

Jumapili ndo tutawavuruga ile mbaya yaani tutawazima kabisa.
yani hawa wanatakiwa wapigwe goli nyingi ili waanzishe migogoro wao kwa wao, natamani kuona wakifa kwa goli 6 ili heshima iwepo
 
yani hawa wanatakiwa wapigwe goli nyingi ili waanzishe migogoro wao kwa wao, natamani kuona wakifa kwa goli 6 ili heshima iwepo
Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]
 
Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]
huyo kocha wao hamalizi msimu huu lazima afukuzwe, ngoja akutane na matokeo mabaya hapo j²
 
Sio Mo tu hata sisi yanga tunamkubali pia japokua hofu bado tunayo

It's Scars
 
Ha ha ha, hivi refa Martin Saanya wanaimani naye wanamkubali? baadaye hatutaki visingizio, mara refa, Tff, Simba SC
Sio Mo tu hata sisi yanga tunamkubali pia japokua hofu bado tunayo

It's Scars
 
Akitufunga ndo ampongeze!!Siyo tumfunge halafu awazilie tena mikia Fc
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi.

"Hongera Kocha Sven kwa kazi nzuri. Kwa kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa Jumapili na watani wetu. Lengo letu kuwa mabingwa Insha'Allah tutafanikiwa".

Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Instagram.View attachment 1378068
Tatizo lilikuwa kwa wachezaji ndio waliosababisha kocha aonekane mbaya, Wachezaji waliokuwa hawajitumi wakipoteza Mpira hawakabi yaani wanacheza Kama vile wamealazimishwa kucheza.Nafikiri baada ya kile kikao Cha uongozi na wachezaji na haji manara kutoa mapovu kwa wachezaji ndio imesaidia Wachezaji wajitume kila mechi.
 
Tumehakikishiwa na muhamasishaji wetu,Kuna million Mia mbili zimetengwa,kwa ajili ya kumuua mnyama,Safari hii Martin Santa tunampa Vits aupesa yenye thamani hiyo,na mchezo tumeshamaliza nje ya uwanja.
Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom