Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi.
"Hongera Kocha Sven kwa kazi nzuri. Kwa kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa Jumapili na watani wetu. Lengo letu kuwa mabingwa Insha'Allah tutafanikiwa".
Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Instagram.