yani hawa wanatakiwa wapigwe goli nyingi ili waanzishe migogoro wao kwa wao, natamani kuona wakifa kwa goli 6 ili heshima iwepoUtopolo timu hawana, lakini wanatumia muda mwingi kulalamika
Jumapili ndo tutawavuruga ile mbaya yaani tutawazima kabisa.
Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]yani hawa wanatakiwa wapigwe goli nyingi ili waanzishe migogoro wao kwa wao, natamani kuona wakifa kwa goli 6 ili heshima iwepo
Utopolo timu hawana, lakini wanatumia muda mwingi kulalamika
Jumapili ndo tutawavuruga ile mbaya hadi tutawazima kabisa.
huyo kocha wao hamalizi msimu huu lazima afukuzwe, ngoja akutane na matokeo mabaya hapo j²Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]
Jumapili sidhani kama mashabiki wa utopolo kama wataenda uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lilikuwa kwa wachezaji ndio waliosababisha kocha aonekane mbaya, Wachezaji waliokuwa hawajitumi wakipoteza Mpira hawakabi yaani wanacheza Kama vile wamealazimishwa kucheza.Nafikiri baada ya kile kikao Cha uongozi na wachezaji na haji manara kutoa mapovu kwa wachezaji ndio imesaidia Wachezaji wajitume kila mechi.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, amempongeza kocha Sven Vanderbroeck kwa kazi nzuri ya kukinoa kikosi hicho cha wekundu wa Msimbazi.
"Hongera Kocha Sven kwa kazi nzuri. Kwa kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa Jumapili na watani wetu. Lengo letu kuwa mabingwa Insha'Allah tutafanikiwa".
Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Instagram.View attachment 1378068
Mkuu, hili la wao kwa wao mbona bundi yupo angani na wakati wowote anatua, tusubiri baada ya game ya Jumapili watakavyovurugana[emoji23]