The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa!
Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo! Watasingizia lawama hata kwa Mwenyekiti Mswahili mradi Mhindi huyu asiguswe!
Halafu wale mashabiki waliokuwa wanashiriki kumvunja moyo na kumtukana Onyango wakati ndio alikuwa beki bora wa timu, hatimaye jana mmevuna fitina yenu!