AaahahhhKitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu ...ni utapeli wa waziwazi..
Matokeo Yale kipa hapangwi...anachezeshwa mgonjwa .... utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo...
Watasingizia lawama hata Kwa Mwenyekiti mswahili mradi Mhindi huyu asiguswe...
Halafu wale mashabiki waliokuwa wanashiriki kumvunja Moyo na kumtukana Onyango....wakati ndo alikuwa beki Bora wa timu...hatimae Jana mmevuna fitina yenu...
Ameongea sana Hamisi Kigwangala, mkaingiza siasa, mkamtukana sana, mkamsimanga eti kwa vile hakupewa mkopo wa pikipiki sijui baiskeli.Mo ana usanii sana
Unasajili kipa wakigeni halafu anasugua benchi,huu ni uhujumu uchumi kabisa.
Simba was defiled yesterevening.
Nyinyi shukuruni dada TATU MALOGO hakuchezesha jana.Kichapo cha jana kilikuwa ni cha kumpiga mbwa mwizi.
Chawa wa Mwamedi hapa Jukwaani OKW BOBAN SUNZUHiki kichapo ndicho kitakachowafumbua macho wanachama wengi wa Simba, simba kuna kipindi ilikuwa na usajili wa kuungaunga lakini haikuwahi kupata fedheha kama hii. Anang'ang'ania awe mwekezaji pekee lakini anasajili kitapeli. Aache wawekezaji wanaotaka kuwekeza na sio kununua wanachama wachache wanaomtetea kwa ujinga wake.
Onyango alikuwa anaficha madhaifu ya inongaKitendo cha Mo kusema ametumia bilioni 3 kuleta kipa bomu, ni utapeli wa waziwazi, matokeo yake kipa hapangwi, anachezeshwa mgonjwa!
Utashangaa hakuna shabiki anaeuliza hili kisa ni Mo! Watasingizia lawama hata kwa Mwenyekiti Mswahili mradi Mhindi huyu asiguswe!
Halafu wale mashabiki waliokuwa wanashiriki kumvunja moyo na kumtukana Onyango wakati ndio alikuwa beki bora wa timu, hatimaye jana mmevuna fitina yenu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu anadai kasajili Kwa bilioni 3