Mohammed Hussein ni moja ya mzigo na udhaifu wa Simba

Watu wana mihemko, wanadhani nimeanza kumuangalia MH mechi ya juzi. Hayo yote unayosema ni sahihi kabisa.

Kuna wakati mchezaji ambao walikuwa tegemeo kwa timu lakini kutokana na umri au sababu zingine, kiwango kushuka na anakuwa mzigo zaidi kwa timu. Kwa wachezaji wa namna hiyo ambayo na wewe umesema, inakuwaga ngumu kuwaacha mara moja, kama ilivyotokea kwa Kagere, kwa hiyo si vibaya kuwaazishia benchi na wakawa wanaingia pale madhaifu yao yanapokuwa siyo risky sana.

Tatizo hawa seniors hata nje ya uwanja ni shida huko makambini na wakati mwingine ndiyo vyanzo vya migogoro, ungesema wangeweza kuwa msaada kuwajenga wachezaji wapya kwenye timu.
 
Nenda kachambue wachezaji wa netball
 
Embu niupandishe huu uzi nitaurudia baadae
 
Zimbwe uyuuyu anaebeba Tuzo kila msimu? Au yule Mke wake alikua mali yako? Itakua unahasira za pasono
 
Ki ukweli Kwa Sasa hatuna beki 3 wa timu ya Taifa alipangwa juzi kibwana timu ya Taifa tulipata aibu Leo Zimbwe nae njia tu
Nashangaa wanaomtetea. Mchezaji 95% ya pasi zake anapoteza mpira au pasi za mchongo, anampa mtu aliyokabwa ambaye mchezaji pinzani anakuja kutokea nyuma, huyo ndiyo anampa pasi. Halafu 95% ya tackles zake, anacheza foul.
 
Wanaomtetea wote ni wapuuzi.
Amebaki anachezea jina lakini output ni ndogo mno. Upande wake ni njia sio uchochoro tena
 
JARIBU kumuangalia Aucho anavyotoa Msaada kwa Lomalisa akipanda.

Simba Ina shida kwenye KIUNGO No 6.
 
Kama ni hivyo bora astaafu tu...au we unaonaje
 

Acha kumuongelea vby mohamed hussein wang [emoji3064][emoji3064][emoji3590]
 
Goli la pili Zimbwe anaurukia mpira ambao anajua kabisa hawezi kuufikia.

Alitakiwa ajue kuwa hawezi kuufikia hivyo angekimbia mbele ili kumkaba mfungaji.

Zimbwe na Kapombe wanajiamini kupita kiasi na kuelekea kusababisha kufungwa.

Yaani timu ikishambulia wote wanapanda mbele na kuwaacha wafungaji peke yao na Beki 5 na 4 ambao wanashindwa kuwakaba mawinga na wafungaji.

Kapombe na Zimbwe wasipoacha kujiamini Simba itafungwa sana msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…