Mohammed Hussein 'Tshabalala' ajipiga spana mpaka mwaka 2025 msimbazi

Naam maisha ya soka ni mafupi,mchezaji akifika miaka 30 apo yuko mwisho wa maisha ya kucheza soka la kulipwa.
 
Kila la kheri Mohammed Hussein Mungu akujaalie utumishi mwema ktk utendaji wako kwenye club ya Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…