Mohammed Hussein 'Tshabalala' ajipiga spana mpaka mwaka 2025 msimbazi

Mohammed Hussein 'Tshabalala' ajipiga spana mpaka mwaka 2025 msimbazi

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Beki wa Pembeni anayepanda na kushuka Mohammed Hussein ameongeza mkataba wa miaka miwili, hivyo ataendelea kuwepo kwenye viwanja vya Msimbazi mpaka mwaka 2025.

1689012902881.png
 
Naam maisha ya soka ni mafupi,mchezaji akifika miaka 30 apo yuko mwisho wa maisha ya kucheza soka la kulipwa.
 
Kila la kheri Mohammed Hussein Mungu akujaalie utumishi mwema ktk utendaji wako kwenye club ya Simba.
 
Back
Top Bottom