TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Electronics yake ilikua kichwani aisee yote
RIP muddy Mambo yalkua yakinikamata kwenye Muncaster na nelkon nakimbilia kwenye vitini vyako.

I remember electronics zamani Sana nlsoma mwenyewe yote kwenye kitabu chako

Mani you made me to appear like a damn genius mpka nkaitwa Tesla

Rest in peace , others we are doctors because of You Mani

Rest easy , some we never saw you but we used your damn books. Rest easy boss

Safari ni yetu moja [emoji3590][emoji257]
 
Nimepitia comments zote. Ukweli huyu Marehemu Muddy amewawezesha wengi mno mno. Ninawashauri wote mliopitia kwake na mkafanikiwa mfikirie jambo zuri la kufanya kumuenzi. Yaani muweke alama kwenye familia yake. Mnaweza kuanzisha Uzi mwaaimu hapa ili mfahamiane ba baadaye kuanzisha WhatsApp group ambalo mtajadili jinsi ya kuenzi legacy yake na kuwezesha familia yake.

Huenda ameacha mjane na watoto ambao mngeweza kuwawezesha wasome kwa kuhakikisha wamelipiwa ada shule nzuri. Ninaamini amezalisha Madaktari, Wafamasia, Wahandisi n.k na mna uwezo kifedha na mnaweza kuwezesha familia yake.

Nimeguswasa sana sana japo sikuwahi kupeleka watoto wangu kusoma kwake.

Hakika hii ndiyo inaitwa Legacy ambayo haifahamiki. Wizara ya Elimu ingekuwa inatambua hawa watu wamesaidia mno ufaulu wa vijana.

Rest in Peace Muddy.
 
Wazo zuri. Ila hii inaonesha walimu wakiwezeshwa wanaweza, huyu mwl alikuwa vizuri sana, nilisoma Physics kwake hakika alikuwa mtalaamu. Nadhani ni muhimu kumuenzi.
 
Wazo zuri. Ila hii inaonesha walimu wakiwezeshwa wanaweza, huyu mwl alikuwa vizuri sana, nilisoma Physics kwake hakika alikuwa mtalaamu. Nadhani ni muhimu kumuenzi
Safi sana. Mjipange msaidie watoto wake wasome. Mnaweza kabisa kabisa kufanya jambo la kukumbukwa pia na familia yake na watawakumbuka kama ambavyo mnavyomkumbuka yeye.
 
Kwani walisoma bure kwake ?Aliwapa maarifa ila walimpa pesa. Sasa kama hakujipanga kuhusu familia endapo siku hayupo hilo ni kosa lake.
 
Hapo naona alikuwa anakata matrigonometry
 
Watoto sahv ukiwauliza Shujaa au role model wako nani wanakwambia mondi kiba konde
Fantamalakaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Inalilah wainailah rajiun

Huyu mudi nilikuwa namsikia sijawahi kumuona

Hivi mbuga, Ngaiza bado wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…