TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Mnachokijua ni kusema inalilaa sijui bwana katwaa lakini wakati anaugua hakuna hata mmja ukute alitoa japo mchango wa kuuguza,huu ni upuuzi na unafiki kama wa maCCM.
 
Nakumbuka topic ya SHM ilinipiga chenga ila nilipohudhuria kwa huyu bwana mambo yalikuwa mteremko sana.. may his Soul R.I.P
 
Kwani walisoma bure kwake ?Aliwapa maarifa ila walimpa pesa. Sasa kama hakujipanga kuhusu familia endapo siku hayupo hilo ni kosa lake.
Daaaahh. Tunatofautiana mno katika uelewa. Mimi nilikuwa nafanya upendo kwa waalimu wangu wote wa Primary School Kijijini kila nikienda nilikuwa nawatembelea wakiwa kama wastaafu na walipofariki nikishiriki kikamilifu. Wamebaki 4 ni wazee na ninawakumbuka kwa chochote. Bahati mbaya wa Secondary sina connections nao ila hakika kuna ambao ningestahili kuwapa Asante. Kumbuka hao walikuwa wanalipwa mshahara na pension lakini ninakumbuka waliokonitoa na uwezo niko nao kwa sasa hivi. Bila wao I was to be nothing. Hivi nikiwapa mfano 200,000 kila say Christmas ambayo haifiki hata 1m kwa hao 4 waliobaki hizo Baraka watanitemea unafikiri nitakaa nipungukiwe? Tumebaki tu kudanganywa na akina Gwajima tunawapelekea misadaka wanunue ndege na helicopter unasahsu aliyekuwrzesha kufika tulipo. Hata wazazi wawe na pesa ngapi lakini hawawezi kuwa waalimu wako hivyo the first and foremost gratitude kwa DUNIANI ni Mwalimu. Kwa Ujumla wake ni Mungu.
 
fact
 
Hao wa shuleni sawa.Ila hawa wa tuition big non.Ungewahi hudhuria madarasa yao ya tuition wala usingesema hili. Madarasa yalijaa,na tulilipa elfu mpaka 20 kwa topic. Nakumbuka mtu katoka kijijini anajibana ili apate tu elfu ishirini ya topic. Zingine anakosa pesa inabidi atoe copy ya vitini. Wewe acha tu. Nikikimbuka pale mtetendeni kwa Mkandawile tulivyokuwa tunajazana yaani wewe acha tu. Walikuwa wanatengeneza sana pesa.
 
Shukrani mara nyingi haiangalii mambo mengi. Anyway mimi nilisoma tu comments nikaona alikuwa mtu muhimu sana ndiyo nikashauri waliobahatika kutokana na mchango wake wamuenzi. Mchangieni hata rambirambi basi🤣🤣🤣🤣. Kutoa ni Moyo Usiambe ni Utajiri.
 
nimekucheck PM
 
Una roho ya kutu.tena wewe ni maskini wa roho na Mali.isitoshe uko ccm wewe sio bure
Ungesoma tuition kwa hawa watu wala usingesema hivyo. Walikuwa wanafanya biashara. Wanafunzi walilipa,tena siyo elfu moja.
Mwalimu wangu wa Secondary,primary Yes. Maana hao pamoja na mishahara midogo walitufundisha kwa moyo mmoja.
Hawa kina Muddy and the likes walitufundisha sababu tuliwapa hela. Na walipata pesa nyingi sana. Maana walikuwa wameshatengeneza brand zao. Huko mashuleni tukirudi kutoka likizo ni story kuhusu wao tu.
 
RIP mwamba kupitia wew cjui ile B ya physics ningeipataje,na IYUNGA TECH ningefikaje pumzika bro
 
Mkuu umeongea mpaka nimeumia,ila siku zote hukumkumbuka??
 
RIP mwalimu

Nimehudhuria sana mapindi yako ya fizikia. Una mchango wako kwenye maisha yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…