TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Nimepiga sana mapindi yake ila nasikitika sana jamaa kukimbia kaunta langu lenye topic zake zote za form one, two, three hapo hapo Mchikichini, nilimlani na endelea kumlani maisha yangu yote.
 

Aliuza huduma yake. Ni sawa Mangi kafariki kisa alikuwa anakuuzia mchele basi akifa umsomeshee wanae. Hivi ukoo wako wote waliokulea,kukusafisha mavi kukulinda wao hawana shida mpaka ukasomeshe watoto wa mangi kisa alikuuzia mchele ?Charity BEGINS at home.
 
Huyu nishamuziaga sana scientific calculator za kunjuga kutoka dizonga kitambo sana
Apumzike kunako stahili Dah

Ova
Tuliokimbia umande hata hatumjui.. ila inaonekana kagusa maisha ya wasomi wengi sana
 
Kumbe na wewe msomi
 
Mkanda boy [emoji38][emoji38][emoji38], yule anafundisha hadi holidays alafu makusudi anakata issues parefu ili wasio hudhuria pindi holidays wasiweze ku cover gape.
 
Sisi tulifanya hivyo Kama badae alikuja badili au kabla alibadili.Mkandawile Chemia,Mama Shija Bios na Busanji Phys.
Busanji nae alishaondoka bana, nilijua siku nimekutana na Makumaku [emoji41]
 
Busanji nae alishaondoka bana, nilijua siku nimekutana na Makumaku [emoji41]
Makumaku sikuwahi kusoma kwake huyu alikuwa wa Bios nadhani. Nilikuwa nasikia tu habari zake.Hivi Mkandawile yupo wapi ?
 
Uusiongee usichokijua, Moddy physics kafundisha sana watu bure na alikuwa na masaa mawili jioni kufundisha topic mbili mkilasiku na watoto wengi wa hali ya chini tuliponea hapo na hata hivyo bado aliwasaidia baadhi ya watu wakawa wanasoma free, usitengeneze bias kwakuwa wewe ulipitia pabaya, MODDY KATUFUNZA MENGI, MUNGU AMREHEMU. Na nimeenda kumzika leo Mwandege-Vikindu, Mwalimu wangu wa muda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…