TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Nimepiga sana mapindi yake ila nasikitika sana jamaa kukimbia kaunta langu lenye topic zake zote za form one, two, three hapo hapo Mchikichini, nilimlani na endelea kumlani maisha yangu yote.
 
Shukrani mara nyingi haiangalii mambo mengi. Anyway mimi nilisoma tu comments nikaona alikuwa mtu muhimu sana ndiyo nikashauri waliobahatika kutokana na mchango wake wamuenzi. Mchangieni hata rambirambi basi🤣🤣🤣🤣. Kutoa ni Moyo Usiambe ni Utajiri.

Shukrani mara nyingi haiangalii mambo mengi. Anyway mimi nilisoma tu comments nikaona alikuwa mtu muhimu sana ndiyo nikashauri waliobahatika kutokana na mchango wake wamuenzi. Mchangieni hata rambirambi basi🤣🤣🤣🤣. Kutoa ni Moyo Usiambe ni Utajiri.
Aliuza huduma yake. Ni sawa Mangi kafariki kisa alikuwa anakuuzia mchele basi akifa umsomeshee wanae. Hivi ukoo wako wote waliokulea,kukusafisha mavi kukulinda wao hawana shida mpaka ukasomeshe watoto wa mangi kisa alikuuzia mchele ?Charity BEGINS at home.
 
Hao wa shuleni sawa.Ila hawa wa tuition big non.Ungewahi hudhuria madarasa yao ya tuition wala usingesema hili. Madarasa yalijaa,na tulilipa elfu mpaka 20 kwa topic. Nakumbuka mtu katoka kijijini anajibana ili apate tu elfu ishirini ya topic. Zingine anakosa pesa inabidi atoe copy ya vitini. Wewe acha tu. Nikikimbuka pale mtetendeni kwa Mkandawile tulivyokuwa tunajazana yaani wewe acha tu. Walikuwa wanatengeneza sana pesa.
Mkanda boy [emoji38][emoji38][emoji38], yule anafundisha hadi holidays alafu makusudi anakata issues parefu ili wasio hudhuria pindi holidays wasiweze ku cover gape.
 
Busanji nae alishaondoka bana, nilijua siku nimekutana na Makumaku [emoji41]
Makumaku sikuwahi kusoma kwake huyu alikuwa wa Bios nadhani. Nilikuwa nasikia tu habari zake.Hivi Mkandawile yupo wapi ?
 
Aliuza huduma yake. Ni sawa Mangi kafariki kisa alikuwa anakuuzia mchele basi akifa umsomeshee wanae. Hivi ukoo wako wote waliokulea, kukusafisha mavi kukulinda wao hawana shida mpaka ukasomeshe watoto wa mangi kisa alikuuzia mchele? Charity BEGINS at home.
Uusiongee usichokijua, Moddy physics kafundisha sana watu bure na alikuwa na masaa mawili jioni kufundisha topic mbili mkilasiku na watoto wengi wa hali ya chini tuliponea hapo na hata hivyo bado aliwasaidia baadhi ya watu wakawa wanasoma free, usitengeneze bias kwakuwa wewe ulipitia pabaya, MODDY KATUFUNZA MENGI, MUNGU AMREHEMU. Na nimeenda kumzika leo Mwandege-Vikindu, Mwalimu wangu wa muda wote.
 
Back
Top Bottom