Prodigy Oligarchy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 571
- 653
Miaka ya 2010 wp, hapo inaonaongelewa 2000 kushuka chini.Mimi siikubali wallah [emoji23][emoji1787][emoji1787]yaani wewe usome miaka ya 2010 kushuka,a wapi [emoji85][emoji2094]
Huyo kamaliza 2011Miaka ya 2010 wp, hapo inaonaongelewa 2000 kushuka chini.
Mbn anasema muddy alimzd miaka miwili chuo?Huyo kamaliza 2011
Sasa alianza 2008 ,ndicho ninachocheka..tunajuana mkuu.
Mi mdogo wake,napenda kumtania.
Hiyo 2008 nilikuwa namaliza std 7[emoji85]
Mimi sijui huyo muddy alisoma mwaka gani chuoMbn anasema muddy alimzd miaka miwili chuo?
Mda sn.Mimi sijui huyo muddy alisoma mwaka gani chuo
Sijui sasaMda sn.
Rip busanji....daah umenikumbusha HUYU mwamba,plus mkandawile....PUGU BOYSTuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.
Marehemu hasemwi lakini mimi nitamsema.... Muddy physics alikua hamalizagi topics iyo ndio lilikua tatizo lake kubwa.... Mungu amuweke panapostahiliKwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini
Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo
Hivi mtegetwa na Sir White Man Complex nani mkali? Mtegetwa mtu mbaya wewe amenitolea B ya geography olevalwww.jamiiforums.com
View attachment 1624762
Hehehehe nakuona kijana ushawahi fika lumbila wewe kutafuta viwese .Lumumba,Amri Abeid,Shaban Robert,Mugabe,Mkwawa,luthuli
State House..
Gymnasium
.
Pourtry..
Garden
CattleBoma
Zamani sana
Rip busanji....daah umenikumbusha HUYU mwamba,plus mkandawile....PUGU BOYS
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hivi mzee kibiriti yupo?Rip busanji....daah umenikumbusha HUYU mwamba,plus mkandawile....PUGU BOYS
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Live Long JFLeo wanajf wote wamesoma advanced physics dah.
R.I.PKwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa: