TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Miaka ya 2010 wp, hapo inaonaongelewa 2000 kushuka chini.
Huyo kamaliza 2011
Sasa alianza 2008 ,ndicho ninachocheka..tunajuana mkuu.
Mi mdogo wake,napenda kumtania.

Hiyo 2008 nilikuwa namaliza std 7[emoji85]
 
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini

View attachment 1624762
Marehemu hasemwi lakini mimi nitamsema.... Muddy physics alikua hamalizagi topics iyo ndio lilikua tatizo lake kubwa.... Mungu amuweke panapostahili
 
Lumumba,Amri Abeid,Shaban Robert,Mugabe,Mkwawa,luthuli

State House..

Gymnasium
.
Pourtry..

Garden

CattleBoma

Zamani sana
Hehehehe nakuona kijana ushawahi fika lumbila wewe kutafuta viwese .

Au nyie ndio waseminari wa ndani ya ukuta[emoji1787][emoji3577]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Daaah,,, rest in peace muddy guy!

Tuliosoma Azaboy late 90's tutamkumbuka sana!
 
Dah kumbe huyu jamaa wa University of Massachusetts Boston ametangulia, R.I.P muddy phy, ulifanya mechanics iwe simple sana
 
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini

View attachment 1624762
R.I.P
 
Back
Top Bottom