Mimi sio msela, nimesoma Azaboi miaka 6 na namkumbuka vizuri Muddy PhysicsWale masela wa Azaboy wa enzi hizo ndio wanamjua na kumkumbuka sana.
Sisi wa huku Zanzibar hatujuagi watu wa Dar, tunamjua Maalim Seif Sharif Hamad tu.
Dah kwani alihama boma? Sema alikuwa na bato sana na mgote.R.I.P Commissioner.
Nakumbuka nilisomaga Simple harmonic Motion kwake.Enzi zile anafundishia Ilala Boma.
Tutaendelea kukumbuka daima.
Ile battle yako na Mgote naona ndo ishaisha.daaaaah
mgote complicator na ndo elimu ya advance bongo inataka.R.I.P Moddy physics
Ila mtabe ni Mgote
Msiba utakuwa wapi Mkuu?Muende mkamzike ticha wenu
Yeah alihamia pale juu karibu na sekondari Mchikichini.Dah kwani alihama boma?
sema alikuwa na bato sana na mgote.
utasikia anakuambia samwel mgote baada ya kuolewa kanisani akajiita samwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi matokeo yalikuaje? Kwa Sasa Hali ipoje Hapo UN Physics Commission?dah enz zile form 2 nimeenda kupiga topic mzee phyisics nikapiga mpaka kuderive formula topic ya advamce
projectile motion.balaaa
kilikuwa na page ngapi?Kitini chake cha Modern Physics nimekitumia kimtindo..
RIP
Sikumbuki, mgote nilimtumia kidogo tu mechanics, modern yake sikuitumia. Vitabu vingi modern physics ilikuwa haijaandikwa vizuri..yale manuclear reactor n.k..so nikawa nasoma tu desa la muddy juujuukilikuwa na page ngapi?
Na mgote hiyo hiyo topikc alikuwa na page ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app