TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Wekeni picha basi. Wengine hatumjui huyo muddy maphysics!

Poleni sana.
 
Kwa maneno yako unaweza ukawa sahihi au usiwe sahihi pia

Hongera sana kwa kufika O level

Mpaka sasa sijaelewa kosa lako,nimesoma comment yako mara mbili sikuelewa jamaa kwanini ameku-mind, ila jibu zuri
 
Wale masela wa Azaboy wa enzi hizo ndio wanamjua na kumkumbuka sana.
Sisi wa huku Zanzibar hatujuagi watu wa Dar, tunamjua Maalim Seif Sharif Hamad tu.
😂😂😂
Ila nanyi mnawajua walimu wenu wanaomaliza FORM 6 na kujitolea kufundisha LUMUMBA na pia kuwapiga MATWITI....Yuko mmoja anaitwa JAJE(utani)...jina kamili Yusuf mpwa wa mh.Shamsi Vuai...atakua Yuko Urusi sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…