Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
"Ladies and gentlemen, let's end up here at this particular juncture for today....."
Innalillah wa innaillah rrajiun...
mpaka sasa sijaelewa kosa lako,nimesoma comment yako mara mbili sikuelewa jamaa kwanini ameku-mind, ila jibu zuri
Inna lillah...Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
😂😂😂Dah kwani alihama boma?
sema alikuwa na bato sana na mgote.
utasikia anakuambia samwel mgote baada ya kuolewa kanisani akajiita samwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Rip Ticha Muddy!!R.I.P mwamba.
Ndio walimwengu hao mkuu, watu wana nongwa mno.
Ndio Ile unakuta mtu kapunjwa sokoni anapeleka hasira nyumbani
Yeah mwamaba. Chuo umepiga wapi?Basi tulikuwa pa1 na mwamba
Ni confirmed nimeulizia wanasema alikuwa anasumbuliwa na kifua na kwikwi, maziko kesho mwandege saa 7 mchana, RIP.Weka uhakika wa habari yako mkuu. Maana naona habari imegusa watu wengi, japo hujasema kama ni confirmed au la.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Watu muhimu nchi wanaonekana ni kina mondi gigy kondeWenye data leteni ukweli wa habari hii,maana ni mtu muhimu sana kwa Taifa hili.
Nipo hospital ya taifa Muhimbili. Wewe upo wapi?Naam. Mkandawile nilimsikia. Mimi nilikuwa na Abdulla kwa Chemistry. Vipi unafanya kazi hospitali gani?
Busanji na yeye AlifarikiTuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.
Nauliza tuu hivi covid19 bado ipo?