TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Wataalamu watayaelezea zaidi. Lakini nahisi inaweza ikawa ni kutokana na muda mwingi sana anakua amesimama anafundisha. Waliopita pale wanaweza kuelewa nikisema muda mwingi anautumia kufundisha
 
Huyu mwamba alipata kunifundisha electronics pale mchikichini mwamba anajua sana phyics haswa topics za umeme zotee
 
Back
Top Bottom