TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

rip mtabe wa physics..,daima utakumbukwa umesaidi vijana wengi kutimiza ndoto zao..,pumzika blaza
 
Tuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.

Dah, umenikumbusha mbali sana, hiyo mashine(Busanji) ilinifundisha 2010. Ni miongoni mwa watu wachache wanaoielewa ADV physics...

aendelee kupumzika kwa amani aisee.
 

We mwana hope tulisoma 2014 wote nahic kipindi cha kina #shekidele jamaa wa tanga tech
#ungachemistry #kingkong mashuzi[emoji3][emoji3][emoji3] RIP
 
"yah man nyinyi tulikuwa tunazungumzia habari gani"

Dah kweli binadamu tunapita, Mwamba umeanguka mchikichini inauma sana aisee.
 
Duuu! Aisee apumzike kwa amani. Kila nikitazama jinsi nilivyopitapita kwenye safari yangu ya kielimu siwezi kusahau mahali panapoitwa mchikichini na pia siwezi kumsahau huyu jamaa alinisaidia sana kwenye physics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…