TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Alituokoa sana sana huyu mwamba.Nilisomaga Simple &Harder mechanics buree kwa huruma maana nilikuwa hell of poverty.Olevel ndio usiseme.Ukisikia wanasema anazikwa wapi naomba nitag ndugu Mwifwa
 
We mwana hope tulisoma 2014 wote nahic kipindi cha kina #shekidele jamaa wa tanga tech
#ungachemistry #kingkong mashuzi[emoji3][emoji3][emoji3] RIP
Yap man, Umenikumbusha Shekidele, KingKong nikikutana nae Chuo Tanga
Lile life acha tuu mkuu
 
Umenikumbusha mbali sn mkuu daahh.
So sad! nakumbuka wakati nipo primary Uncle wangu alikuwa ananipa story zake yeye yupo olevel Azania, na mimi O level & A level nikasoma hapo hapo physics miaka mingi imepita.. huyu jamaa ni one of the most influential person kwenye somo la physics hasa kwa DSM, vitini vyake vimesaambaa karibia nchi nzima.. imenisikitisha sana asee
 
Alituokoa sana sana huyu mwamba.Nilisomaga Simple &Harder mechanics buree kwa huruma maana nilikuwa hell of poverty.Olevel ndio usiseme.Ukisikia wanasema anazikwa wapi naomba nitag ndugu Mwifwa
Muddy kiukweli amesaidia wengi mm mwenyewe mmoja wapo, hana nongwa Muddy km huna hela we mfate wala ha complicate kabisa.

Mazishi wanasema ni mwandege.
 
Yn Muddy ni hatari sana, naweza sema nchi hii imepoteza expert muhimu sana, vijana wetu wa olevel na Alevel bado walikuwa wanamhitaji mno ila ndo kazi ya Mola.

Muddy alikuwa anafundisha Physics inaonekana kama kiswahili kwa urahisi wake ni hatari sana Muddy kwa kweli amefaulisha sn na ametengeneza wataalamu wengi mno, naimani Mwenyezi Mungu atamlipa kadri ya wema wake hapa duniani, makosa madogo madogo yapo lkn ndivyo binadamu tulivyo hatukosi makosa, namuombea kwa mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi commissioner, RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…