TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Hivi huko CCM kuna watu mmefika O-level pia? Mbona arguments zenu ni kama mliishia vidudu?
Naona unataka kubishana na UKWELI ? huyo bibie alicho andika ni sahihi kabisa na huwezi kupinga hili.
 
Nilisoma kwake Fizikia nikiwa shule ya Upili. Nazikumbuka sana zike Chaki zake, zilikuwa ndogo ndogo (Spoti Spoti) bei ghali kidogo, siyo kama hizi za memkwa na haki elimu.

Mola wetu mlezi amrehemu.
Hizi za elimu bure full kukohoa tuuu...ziko chaki hata vumbi hazitoi, sasa hawa walimu wa kilio cha madaraja hawawezi nunua!
 
Hizi za elimu bure full kukohoa tuuu...ziko chaki hata vumbi hazitoi, sasa hawa walimu wa kilio cha madaraja hawawezi nunua!
Haswaa, alikuwa na chaki zake spoti spoti hazitoi vumbi, sijui kama aliendelea nazo,maana kwangu mimi nilimdiriki kwenye miaka ya ya 2005 mpaka na 2006.

A'level huko niliachana na na mambo ya mapindi nikaona yananipotezea muda, nikasoma kwa Mwalami topic chache kisha nikaenda zangu.
 
Daaaah,leo nimeumia huyu jamaa nilisoma physics kwake kuanzia O'level yote....Na five hadi six A'level kwa elfu 15 tuuu....vingine alinifundisha bure from mechanics mpak AC THEORY .....Daaah nilisema mwanangu akisoma SAYANSI basi wewe ndo utamfundisha Physics, DAAH ila ndo umeshatutoka aisee

Nilishawahi andika uzi humu kwa kuujulisha ulimwengu umahiri wako, DAAAH IMENIUMA SANA KWA WEMA ULIONITENDEA KUTOKANA NA UMASKINI NILIOKUWA NAO KIPINDI HICHO,NA NIMESHINDWA HATA KUKULIPA......Duuuuh ' Raha ya milele akupe bwana na Mwanga wa Milele ukuangazie...UPUMZIKE KWA AMAN COMMISSIONER,UMEACHA ALAMA ISIYOFUTIKA KATIKA ULIMWENGU WA PHYSICS HAPA TZ....hakika kwake tutarejea
 
Your respect!

Nilikua msingi tena chinichini huku kipindi wewe upo secondary!
 
Apumzike kwa amani.
Hawa ni watu muhimu sana.
Wamewezesha maisha ya watu wengi sana.
R.I.P.
 
😂😂😂
Ila nanyi mnawajua walimu wenu wanaomaliza FORM 6 na kujitolea kufundisha LUMUMBA na pia kuwapiga MATWITI....Yuko mmoja anaitwa JAJE(utani)...jina kamili Yusuf mpwa wa mh.Shamsi Vuai...atakua Yuko Urusi sasa....
Huyu ni nani?? Wadau tumepita zamani pale. Kuna mshkaji akiitwa Hassan alikuwa akipiga chemistry na namba LMB pale, sasa hivi kaenda China nadhani kufanya Masters, unampata??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…