Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 714
- 1,193
Dah inalillah wa inalillah raajun
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP muddy Mambo yalkua yakinikamata kwenye Muncaster na nelkon nakimbilia kwenye vitini vyako.Electronics yake ilikua kichwani aisee yote
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wazo zuri. Ila hii inaonesha walimu wakiwezeshwa wanaweza, huyu mwl alikuwa vizuri sana, nilisoma Physics kwake hakika alikuwa mtalaamu. Nadhani ni muhimu kumuenzi.Nimepitia comments zote. Ukweli huyu Marehemu Muddy amewawezesha wengi mno mno. Ninawashauri wote mliopitia kwake na mkafanikiwa mfikirie jambo zuri la kufanya kumuenzi. Yaani muweke alama kwenye familia yake. Mnaweza kuanzisha Uzi mwaaimu hapa ili mfahamiane ba baadaye kuanzisha WhatsApp group ambalo mtajadili jinsi ya kuenzi legacy yake na kuwezesha familia yake. Huenda ameacha mjane na watoto ambao mngeweza kuwawezesha wasome kwa kuhakikisha wamelipiwa ada shule nzuri. Ninaamini amezalisha Madaktari, Wafamasia, Wahandisi n.k na mna uwezo kifedha na mnaweza kuwezesha familia yake.
Nimeguswasa sana sana japo sikuwahi kupeleka watoto wangu kusoma kwake.
Hakika hii ndiyo inaitwa Legacy ambayo haifahamiki. Wizara ya Elimu ingekuwa inatambua hawa watu wamesaidia mno ufaulu wa vijana.
Rest in Peace Muddy.
Safi sana. Mjipange msaidie watoto wake wasome. Mnaweza kabisa kabisa kufanya jambo la kukumbukwa pia na familia yake na watawakumbuka kama ambavyo mnavyomkumbuka yeye.Wazo zuri. Ila hii inaonesha walimu wakiwezeshwa wanaweza, huyu mwl alikuwa vizuri sana, nilisoma Physics kwake hakika alikuwa mtalaamu. Nadhani ni muhimu kumuenzi
Yeye anakupa concept na jinsi ya kusolve physics question. Ukitaka notes kasome chandy, nelkon n. KAlikua hajui kuandaa notes.
Anazikwa kesho mwandege lakini sijajua sehemu gani ila kuna watu nawasiliana nao wakinijulisha nitakushtua.Alituokoa sana sana huyu mwamba.Nilisomaga Simple &Harder mechanics buree kwa huruma maana nilikuwa hell of poverty.Olevel ndio usiseme.Ukisikia wanasema anazikwa wapi naomba nitag ndugu Mwifwa
Kwani walisoma bure kwake ?Aliwapa maarifa ila walimpa pesa. Sasa kama hakujipanga kuhusu familia endapo siku hayupo hilo ni kosa lake.Nimepitia comments zote. Ukweli huyu Marehemu Muddy amewawezesha wengi mno mno. Ninawashauri wote mliopitia kwake na mkafanikiwa mfikirie jambo zuri la kufanya kumuenzi. Yaani muweke alama kwenye familia yake. Mnaweza kuanzisha Uzi mwaaimu hapa ili mfahamiane ba baadaye kuanzisha WhatsApp group ambalo mtajadili jinsi ya kuenzi legacy yake na kuwezesha familia yake. Huenda ameacha mjane na watoto ambao mngeweza kuwawezesha wasome kwa kuhakikisha wamelipiwa ada shule nzuri. Ninaamini amezalisha Madaktari, Wafamasia, Wahandisi n.k na mna uwezo kifedha na mnaweza kuwezesha familia yake.
Nimeguswasa sana sana japo sikuwahi kupeleka watoto wangu kusoma kwake.
Hakika hii ndiyo inaitwa Legacy ambayo haifahamiki. Wizara ya Elimu ingekuwa inatambua hawa watu wamesaidia mno ufaulu wa vijana.
Rest in Peace Muddy.
Hapo naona alikuwa anakata matrigonometryKwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeni dunian hyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hvi sasa.
Innallillah wainnallilah raajuni
Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini
Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo
Hivi mtegetwa na Sir White Man Complex nani mkali? Mtegetwa mtu mbaya wewe amenitolea B ya geography olevalwww.jamiiforums.com
Watoto sahv ukiwauliza Shujaa au role model wako nani wanakwambia mondi kiba kondeYn Muddy ni hatari sana, naweza sema nchi hii imepoteza expert muhimu sana, vijana wetu wa olevel na Alevel bado walikuwa wanamhitaji mno ila ndo kazi ya Mola.
Muddy alikuwa anafundisha Physics inaonekana kama kiswahili kwa urahisi wake ni hatari sana Muddy kwa kweli amefaulisha sn na ametengeneza wataalamu wengi mno, naimani Mwenyezi Mungu atamlipa kadri ya wema wake hapa duniani, makosa madogo madogo yapo lkn ndivyo binadamu tulivyo hatukosi makosa, namuombea kwa mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi commissioner, RIP.
Mpaka bungeni wataalikwa, lakini watu wenye mchango katika ukombozi halisi wa watanzania nani atawajali??
Shame really.
Namaindigi sana hii watu wengine waliyofanya mambo ya maana hawathaminiwi ila wadangaji ndy wanapewa kipaumbele.Ntakuja mgonjwa, doc!
Huoni mpaka wazee wa dili mishen twn tume comment humuAmbao hatujawahi kusoma Tuition na tumefanikiwa kufika university tukomenti wapi?