ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mnachokijua ni kusema inalilaa sijui bwana katwaa lakini wakati anaugua hakuna hata mmja ukute alitoa japo mchango wa kuuguza,huu ni upuuzi na unafiki kama wa maCCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshukuru Mungu (unaoneka umesoma shule zenye kila kitu), si wengine shule tulizo soma unaanza form 5 mpaka 6 mwalimu hayupo,hawa akina Moody ndio waliokuwa wakombozi wetu.Ambao hatujawahi kusoma Tuition na tumefanikiwa kufika university tukomenti wapi?
Daaaahh. Tunatofautiana mno katika uelewa. Mimi nilikuwa nafanya upendo kwa waalimu wangu wote wa Primary School Kijijini kila nikienda nilikuwa nawatembelea wakiwa kama wastaafu na walipofariki nikishiriki kikamilifu. Wamebaki 4 ni wazee na ninawakumbuka kwa chochote. Bahati mbaya wa Secondary sina connections nao ila hakika kuna ambao ningestahili kuwapa Asante. Kumbuka hao walikuwa wanalipwa mshahara na pension lakini ninakumbuka waliokonitoa na uwezo niko nao kwa sasa hivi. Bila wao I was to be nothing. Hivi nikiwapa mfano 200,000 kila say Christmas ambayo haifiki hata 1m kwa hao 4 waliobaki hizo Baraka watanitemea unafikiri nitakaa nipungukiwe? Tumebaki tu kudanganywa na akina Gwajima tunawapelekea misadaka wanunue ndege na helicopter unasahsu aliyekuwrzesha kufika tulipo. Hata wazazi wawe na pesa ngapi lakini hawawezi kuwa waalimu wako hivyo the first and foremost gratitude kwa DUNIANI ni Mwalimu. Kwa Ujumla wake ni Mungu.Kwani walisoma bure kwake ?Aliwapa maarifa ila walimpa pesa. Sasa kama hakujipanga kuhusu familia endapo siku hayupo hilo ni kosa lake.
factDaaaahh. Tunatofautiana mno katika uelewa. Mimi nilikuwa nafanya upendo kwa waalimu wangu wote wa Primary School Kijijini kila nikienda nilikuwa nawatembelea wakiwa kama wastaafu na walipofariki nikishiriki kikamilifu. Wamebaki 4 ni wazee na ninawakumbuka kwa chochote. Bahati mbaya wa Secondary sina connections nao ila hakika kuna ambao ningestahili kuwapa Asante. Kumbuka hao walikuwa wanalipwa mshahara na pension lakini ninakumbuka waliokonitoa na uwezo niko nao kwa sasa hivi. Bila wao I was to be nothing. Hivi nikiwapa mfano 200,000 kila say Christmas ambayo haifiki hata 1m kwa hao 4 waliobaki hizo Baraka watanitemea unafikiri nitakaa nipungukiwe? Tumebaki tu kudanganywa na akina Gwajima tunawapelekea misadaka wanunue ndege na helicopter unasahsu aliyekuwrzesha kufika tulipo. Hata wazazi wawe na pesa ngapi lakini hawawezi kuwa waalimu wako hivyo the first and foremost gratitude kwa DUNIANI ni Mwalimu. Kwa Ujumla wake ni Mungu.
Hao wa shuleni sawa.Ila hawa wa tuition big non.Ungewahi hudhuria madarasa yao ya tuition wala usingesema hili. Madarasa yalijaa,na tulilipa elfu mpaka 20 kwa topic. Nakumbuka mtu katoka kijijini anajibana ili apate tu elfu ishirini ya topic. Zingine anakosa pesa inabidi atoe copy ya vitini. Wewe acha tu. Nikikimbuka pale mtetendeni kwa Mkandawile tulivyokuwa tunajazana yaani wewe acha tu. Walikuwa wanatengeneza sana pesa.Daaaahh. Tunatofautiana mno katika uelewa. Mimi nilikuwa nafanya upendo kwa waalimu wangu wote wa Primary School Kijijini kila nikienda nilikuwa nawatembelea wakiwa kama wastaafu na walipofariki nikishiriki kikamilifu. Wamebaki 4 ni wazee na ninawakumbuka kwa chochote. Bahati mbaya wa Secondary sina connections nao ila hakika kuna ambao ningestahili kuwapa Asante. Kumbuka hao walikuwa wanalipwa mshahara na pension lakini ninakumbuka waliokonitoa na uwezo niko nao kwa sasa hivi. Bila wao I was to be nothing. Hivi nikiwapa mfano 200,000 kila say Christmas ambayo haifiki hata 1m kwa hao 4 waliobaki hizo Baraka watanitemea unafikiri nitakaa nipungukiwe? Tumebaki tu kudanganywa na akina Gwajima tunawapelekea misadaka wanunue ndege na helicopter unasahsu aliyekuwrzesha kufika tulipo. Hata wazazi wawe na pesa ngapi lakini hawawezi kuwa waalimu wako hivyo the first and foremost gratitude kwa DUNIANI ni Mwalimu. Kwa Ujumla wake ni Mungu.
Una roho ya kutu.tena wewe ni maskini wa roho na Mali.isitoshe uko ccm wewe sio bureKwani walisoma bure kwake ?Aliwapa maarifa ila walimpa pesa. Sasa kama hakujipanga kuhusu familia endapo siku hayupo hilo ni kosa lake.
Shukrani mara nyingi haiangalii mambo mengi. Anyway mimi nilisoma tu comments nikaona alikuwa mtu muhimu sana ndiyo nikashauri waliobahatika kutokana na mchango wake wamuenzi. Mchangieni hata rambirambi basi🤣🤣🤣🤣. Kutoa ni Moyo Usiambe ni Utajiri.Hao wa shuleni sawa.Ila hawa wa tuition big non.Ungewahi hudhuria madarasa yao ya tuition wala usingesema hili. Madarasa yalijaa,na tulilipa elfu mpaka 20 kwa topic. Nakumbuka mtu katoka kijijini anajibana ili apate tu elfu ishirini ya topic. Zingine anakosa pesa inabidi atoe copy ya vitini. Wewe acha tu. Nikikimbuka pale mtetendeni kwa Mkandawile tulivyokuwa tunajazana yaani wewe acha tu. Walikuwa wanatengeneza sana pesa.
nimekucheck PMHao wa shuleni sawa.Ila hawa wa tuition big non.Ungewahi hudhuria madarasa yao ya tuition wala usingesema hili. Madarasa yalijaa,na tulilipa elfu mpaka 20 kwa topic. Nakumbuka mtu katoka kijijini anajibana ili apate tu elfu ishirini ya topic. Zingine anakosa pesa inabidi atoe copy ya vitini. Wewe acha tu. Nikikimbuka pale mtetendeni kwa Mkandawile tulivyokuwa tunajazana yaani wewe acha tu. Walikuwa wanatengeneza sana pesa.
Ungesoma tuition kwa hawa watu wala usingesema hivyo. Walikuwa wanafanya biashara. Wanafunzi walilipa,tena siyo elfu moja.Una roho ya kutu.tena wewe ni maskini wa roho na Mali.isitoshe uko ccm wewe sio bure
Mkuu umeongea mpaka nimeumia,ila siku zote hukumkumbuka??Daaaah,leo nimeumia huyu jamaa nilisoma physics kwake kuanzia O'level yote....Na five hadi six A'level kwa elfu 15 tuuu....vingine alinifundisha bure from mechanics mpak AC THEORY .....Daaah nilisema mwanangu akisoma SAYANSI basi wewe ndo utamfundisha Physics, DAAH ila ndo umeshatutoka aisee
Nilishawahi andika uzi humu kwa kuujulisha ulimwengu umahiri wako, DAAAH IMENIUMA SANA KWA WEMA ULIONITENDEA KUTOKANA NA UMASKINI NILIOKUWA NAO KIPINDI HICHO,NA NIMESHINDWA HATA KUKULIPA......Duuuuh ' Raha ya milele akupe bwana na Mwanga wa Milele ukuangazie...UPUMZIKE KWA AMAN COMMISSIONER,UMEACHA ALAMA ISIYOFUTIKA KATIKA ULIMWENGU WA PHYSICS HAPA TZ....hakika kwake tutarejea
Na sisi tuliosoma kamficheni kuelekea Mwakareli tunawasikia kwa wadogo zetuTuliofatia tulikuwa na Busanji Physics,Mkandawile Chemistry na Mama Shija Biology.