TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

tulio kimbia umande hata hatumjui.. ila inaonekana kagusa maisha ya wasomi wengi sana
Hahaha kmbe we ulikumbia umande kama mm
Ila ningeenda chuo naona sahv Ningekuwa professor[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
usiongee usichokijua,Moddy physics kafundisha sana watu bure,na alikuwa na masaa mawili jion kufundisha topic mbili mkilasiku ,na watoto wengi wa hali yachini tuliponea hapo na hata hivyo bado aliwasaidia baadhi ya watu wakawa wanasoma free, usitengeneze bias kwakuwa wewe ulipitia pabaya, MODDY KATUFUNZA MENGI,MUNGU AMREHEMU.....Na nimeenda kumzika leo mwandege-Vikindu, Mwalimu wangu wa muda wote
Safi sana kiongoz, nilitamani niwepo asseh
Ila naamin mmetuwakilisha vyema nacc wengne
R.i.P Commissioner [emoji29]
 
Habari wana jf
Kwa wote tuliopotia mchikichini kusoma physics enzi zetu za sekondari naimani tutakuwa tunamkumbuka mtaalam wa physics (mwalimu) maarufu kama "mody physics" a.k.a commissioner"

Amefariki leo asubuh[emoji21][emoji24][emoji24]i.

Raha ya milele uumpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie aliyekuwa ndugu/rafiki na mwalimu wetu wa physics apumzike kwa amani... amina

IMG-20201112-WA0002.jpg
 
Pumzika kwa amani moddy

Pengo lako litachukua muda sana kuzibwa. Pumzika moddy umeumaliza mwendo


NB
Mgote 5 = moddy 1
 
Hahaha shkran mkuu
Mm pia role model wangu ni wewe
Ila mudy nmemuzia sana gadgets fulani za kupiga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Harakati za maisha acha tu.. kila mtu ana story yake 😀😀
 
Hahaha kmbe we ulikumbia umande kama mm
Ila ningeenda chuo naona sahv Ningekuwa professor[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Bora haujawa propesa.. unge fail aisee.. kama ma propesa wengine wa bongo 😀😀
 
Sijasoma kwake ila huyu mtu ni maarufu sana enzi zile.

Mimi nilisoma kwa jirani yale Hiden Agenda Property.
 
Back
Top Bottom