Mohammed Ouattara ni "Mnyama"

Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!!

Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele.
Mkiambiwa waropokaji mnasema mnaonewa,mtu hajacheza hata mechi ya majaribio unaanza utabiri wa kichawi
 
simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake!
Binafsi nashauri tukutane uwanjani
 
simba hata wakinisajili mimi utasikia tumemsajili kutoka Malawi, anaweza kucheza na Yanga yote peke yake!
Binafsi nashauri tukutane uwanjani
Kumbe unalijua hilo hiki kiherehere chako cha nini na ligi haijaanza? Huyu ameripoti kuwa Simba imetangaza usajili mpya leo mchana tatizo nini nyie manyani?
 
Hizi sifa siyo za dunia hii! Beki kisiki, beki wa kuzuia mipira ya juu na chini, beki bora na mwenye uwezo wa kucheza kwenye kikosi chetu!!

Halafu mechi ya kwanza tu unamkuta ulimi nje baada ya kuhenyeshwa na akina Mayele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayele ambaye hata Mpole ameshindwa kubattle nae ktk mbio za ufungaji, ndo amuwezee huyu deffer??

Wee maumivu badooo, kuwa mpoleeeee.
Mbna utafurahishwaaa,
Byuti byuti.
 
Hongera simba ila wasiwasi wangu bado upo pale DM nahisi tunahitaji mtu wa nguvu sana.
 
Hivi huyu anamzidi yule kipa mpya wa Azam tulieambiwa kuwa anaweza kudaka hata akiwa amefunikwa Gunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…