Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

Lazima wawaishwe kuzikwa sababu Malaika Munkar and Nakir wanakuwa wanawasubiri kuwauliza Maswali na wakikosea hayo Maswali wanapigwa na Nyundo ya kichwa hadi wajibu sawa sawa...

1686251561199.png

Maswali hayo Huwauliza na majibu yake: Allah (SWT) is my Lord, Islam is my religion, and the Prophet Muhammad (SAW) is my prophet
 
View attachment 2650438

Maswali hayo Huwauliza na majibu yake: Allah (SWT) is my Lord, Islam is my religion, and the Prophet Muhammad (SAW) is my prophet
Hayo maswali hata ww utaulizwa
 
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa Mmbande, Mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu, kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu?

USSR
nchi ilishauzwa na yeye ni mwanahisa 😂 😂
 
Kwa mujibu wa taratibu za uislamu mtu anatakiwa azikwe hapo hapo kwenye mji aliofariki unless pawe na ugumu wa mazingira wa kufanikisha hilo jambo.
 
Mwaalim Seif alizikwa Pemba, Dr. Omar Ali Juma alizikwa Pemba Hawa wote walifarki DSM
Niendelee kutaja wengine?
 
sio kila mtu anafuata taratibu zinavyotakiwa, wengine wanajifanyia kimazoea tu.
 
Back
Top Bottom