Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

Lazima wawaishwe kuzikwa sababu Malaika Munkar and Nakir wanakuwa wanawasubiri kuwauliza Maswali na wakikosea hayo Maswali wanapigwa na Nyundo ya kichwa hadi wajibu sawa sawa...

Maswali hayo Huwauliza na majibu yake: Allah (SWT) is my Lord, Islam is my religion, and the Prophet Muhammad (SAW) is my prophet
 
Hayo maswali hata ww utaulizwa
 
nchi ilishauzwa na yeye ni mwanahisa 😂 😂
 
Kwa mujibu wa taratibu za uislamu mtu anatakiwa azikwe hapo hapo kwenye mji aliofariki unless pawe na ugumu wa mazingira wa kufanikisha hilo jambo.
 
Kwa mujibu wa taratibu za uislamu mtu anatakiwa azikwe hapo hapo kwenye mji aliofariki unless pawe na ugumu wa mazingira wa kufanikisha hilo jambo.
Mwaalim Seif alizikwa Pemba, Dr. Omar Ali Juma alizikwa Pemba Hawa wote walifarki DSM
Niendelee kutaja wengine?
 
Mwaalim Seif alizikwa Pemba, Dr. Omar Ali Juma alizikwa Pemba Hawa wote walifarki DSM
Niendelee kutaja wengine?

sio kila mtu anafuata taratibu zinavyotakiwa, wengine wanajifanyia kimazoea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…