Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Mohammed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

Kaka Mohammed Said,

Kwanza nakuamkia.

Pili, khutba zako kwenye social media zinaendelea kuwapotosha watu kuhusu mapinduzi matukufu ya Zanzibar ya mwaka 1964. Bila ya mapinduzi haya wengi wetu visiwani leo tungelikuwa wakwezi au wateka maji.

Mapinduzi ya Zanzibar hayakumpinduwa Mzanzibari kama unavyosema wewe. Natumai unafahamu vizuri vipi waarabu kutoka Oman walifika kuitawala Zanzibar.

Wa-Omani waliichukuwa Zanzibar kwa nguvu kinyume na matakwa ya Wazanzibari wenyewe baada ya kumshinda mreno, sasa na wao kwanini wasiondoshwe kwa nguvu? Ni kweli kuwa Wa-Omani walimfukuza mreno kutoka Zanzibar, lakini baada ya Wa-Omani kuwarejeshea utawala wao Wazanzibari, walijifanya wao wafalme wa visiwa hivi.

Kwahivyo, kupinduliwa kwa Wa-Omani katika mwaka 1964 ilikuwa ni muendelezo wa events ambazo wao wenyewe Wa-Omani walizianzisha. Wa-Omani walivivamia visiwa vya Zanzibar kwa nguvu na wakajifanya wafalme na kwahivyo kwa wenyeji wa kizanzibari kutafuta msaada 1964 kutoka kwa wamakonde wa Tanga (kama unavyoeleza) ili kuwaondoa wavamizi visiwani mwao hayafanyi mapinduzi ya Zanzibar kuwa sio halali.

Tanzania tuliwasaidia wapigania uhuru kutoka Msumbiji, South Africa, Zimbabwe, etc. je, ushindi wao sio halali leo kwasababu walisaidiwa na watu kutoka nje? Kumwita jirani yako kuja kukusaidia kumtoa alievamia nyumba yako ni kosa?

Kama Wa-Omani walikuwa wenye nia njema, basi baada ya kumuondosha mreno visiwani wangeliwarejeshea wenyewe Wazanzibari utawala wao na sio wao Wa-Omani kujifanya wafalme kwa nguvu zao.

Eti unasema mfalme wa Zanzibar hata siku moja hajamuuwa muafrika hata mmoja. Are you in your proper senses Sir? Umesahau waafrika walivyokuwa wakikandamizwa kielimu visiwani? Muafrika gani alikuwa akipata nafasi ya kuingia secondary school? Hao akina Jumbe na Ali Hassan Mwinyi sio ilikuwa ni fluke tu? Kumuuwa mtu kwani ni lazima umtie kisu au kumnyonga kwa kamba?

Leo tunamshukuru Mola kwenye familia yetu tuna PhD moja, Masters 2, bachelors karibu zitakuwa 3 kwani mmoja yupo mwaka watatu akielekea kwenye graduation yake. Hivyo chini ya huyo Sultani wako asieuwa watu tungelifikia level hii? Inasikitisha mtu kama wewe mwenye kufahamu mambo kutoa mifano isiyokuwa na maana.
ilikuwa ni bahati mbaya sana kwa mreno kuondoka zenji, kwasababu alichokiacha muoman ni kikwazo kikubwa sana katika ustawi wa wanadamu. bora angetawala tu mreno. ili hata uhuru tuupate toka kwa mreno.
 
Nelson....
Usiwe hivyo.

Ikiwa jambo hulijui unauliza na utafahamishwa.

Inaelekea huijui historia ya mapinduzi.

Kuwa Hanga ndiye aliyeongoza mapinduzi si jambo watu wakabishana.

Ungesoma kwanza ndiyo uchangie.
Mzee wangu sijabisha kua Mzee wetu Hanga kua hakuongoza mapinduzi!!!!!Nachombishia rafiki yangu ni kuhusu kuuawa kwake na right source of information!!!Kila upande unatupia lawama upande mwingine kuhusu kifo chake!!!Sasa tumwamini yupi???
 
Nelson...
Weka hapa upande mmoja unasemaje na mwingine unasemaje kama ulivyopokea.

Ikiwezekana weka na vyanzo vya taarifa zako.

Mimi nitakueleza niyajuayo.

Kisha tuwaachie wasomaji watoe na wao fikra zao kutokana na waliyosoma kwetu.
 
ilikuwa ni bahati mbaya sana kwa mreno kuondoka zenji, kwasababu alichokiacha muoman ni kikwazo kikubwa sana katika ustawi wa wanadamu. bora angetawala tu mreno. ili hata uhuru tuupate toka kwa mreno.

Kabisa, Mana Mreno ni Kanisa kama mulivyonyinyi, Muarabu ni muislamu na hil ndio tatizo lenu kuu.
 
Nelson...
Weka hapa upande mmoja unasemaje na mwingine unasemaje.

Ikiwezekana tuweke na vyanzo vya taarifa zetu.

Mimi nitakueleza niyajuayo.

Kisha tuwaachie wasomaji watoe na wao fikra zao kutokana na waliyosoma kwetu.
Kuna pande mbili za walowezi wa kiarabu na vizazi vya machotara na wabantu maswaiba wa sultani na upande wa pili wale wabantu waliochukua nchi kimadaraka!!!!Sasa vyanzo vyote kila kimoja kinavutia kwake aliepindua na aliyepinduliwa mzee wangu!!!Hata kifo cha mzee wetu Hanga kimetiwa chumvi mno na upande mmojawapo!!!!!Hata wewe mzee wangu Saidi mohamedi nina hakika kuna upande unaegemea!!!
 
Wagalatia munateseka sana na chuki kwa waarabu, hayo ndio maradhi yanayokusumbua.
Hata nyie wavaa kobazi na wafuasi wa mudi mnateseka sana na chuki dhidi ya wakristo na wayahudi na ndio maradhi yanayowasumbua!!!!Nilienda Khartoum hata mvua isiponyesha au likitokea tetemeko au umeme ukikatika mnasema wayahudi hao🤣🤣🤣
 
Kuna pande mbili za walowezi wa kiarabu na vizazi vya machotara na wabantu maswaiba wa sultani na upande wa pili wale wabantu waliochukua nchi kimadaraka!!!!Sasa vyanzo vyote kila kimoja kinavutia kwake aliepindua na aliyepinduliwa mzee wangu!!!Hata kifo cha mzee wetu Hanga kimetiwa chumvi mno na upande mmojawapo!!!!!Hata wewe mzee wangu Saidi mohamedi nina hakika kuna upande unaegemea!!!
Nelson...
Ungefanya nilivyokuomba tungefanya mjadala mzuri na ungepata mengi kutoka kwangu.

Kughitilafuana si tatizo.
Hivyo ndivyo elimu inavyokuwa na kusambaa.

Hebu soma

KUMBUKUMBU ZANGU ZA MAPINDUZI NA WATU WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YA 1964 SEHEMU YA KWANZA
Nakumbuka kuangalia gazeti nikasoma na kuona picha za vurugu zilizotokea Zanzibar.

Gazeti hili bila shaka litakuwa ni Ngurumo au Mwafrika kwani haya ndiyo yalikuwa magazeti maarufu yaliyokuwa yakisomwa na watu.
Vurugu hizi zilikuwa za uchaguzi wa mwaka wa 1963 wa Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka wa 1961.

Chaguzi zote mbili zilikuwa za msuguano mkubwa na damu ilimwagika.

Mwaka wa 1963 nilikuwa na umri wa miaka 11 na niko darasa la tano.

Hii ndiyo kumbukumbu yangu ya kwanza ya Zanzibar kuingia akilini kwangu.

Nakumbuka siku moja niko barazani nyumbani kwa rafiki zangu wawili mtu na ndugu yake, Mohamed Abdulrahman Talib na Ali Hussein (hawa baba zao ni ndugu mtu na kaka yake lakini mmoja ni Muarabu wala huulizi lakini mwingine Mzee Hussein ni mweusi ila nywele zake ndiyo zitakuonyesha kuwa ana damu ya Kiarabu).

Bila shaka yoyote mama yake alikuwa Mwafrika.
Hawa ndugu wawili wote asili yao ni Tanganyika.

Leo mimi mtu mzima mwenye akili ya kuchambua mambo naangalia nyuma na nimewataja hapa hawa baba zangu kwa rangi zao hawa ni ndugu, damu moja wote Wazanzibari lakini rangi za ngozi zao tofauti.

Hawa bahati nzuri ni Watanganyika si Wazanzibari.

Rafiki yangu Mohamed Abdulrahman alikuwa na jina lake la utani tukimwita, ‘’Kitunguu,’’ na ndugu yake, Ali tukimwita, ‘’Nakioze.’’

Jina hili Nakioze lilikuwa jina la muuza genge Mtaa wa Kipata ambae ukimwambia mbona anauza vitu ghali anakujibu, ‘’Usinunue nakioze,’’ akiwa na maana hatauza kwa bei hiyo acha kioze atakitupa.

Baba zangu hawa wawili Mzee Abdulrahman na Mzee Hussein laiti kama wangelikuwa ni Wazanzibari tayari pangekuwa na tatizo.

Hadi leo mimi najiuliza imekuwaje mimi sikupata kumuangalia Mohamed kama Muarabu hadi hivi sasa tumekuwa wazee na huwa tunakutana.

Fikra kuwa namwangalia Mohamed kwa rangi yake haijapata kunipitikia.

Siku moja niko barazahni kwa Mzee Abdulrahman Talib na mwanae Mohamed Kitunguu tunacheza Mzee Abdulrahman alitoka ndani amebeba sanduku la nguo akaingia ndani ya taxi anakwenda uwanja wa ndege.

Safari ile alikuwa anakwenda Zanzibar kwenye sherehe za uhuru.
Mwaka wa 1963 ndiyo mwaka Zanzibar na Kenya zilipata uhuru.

Sal Davis mwimbaji maarufu wa wakati ule akatunga nyimbo, ‘’Uhuru of Kenya,’’ yaani Uhuru wa Kenya lakini nyimbo hii ikijulikana kwa jina la ‘’Ay Ay Ay Uhuru,’’ na katika nyimbo ile akawataja viongozi wa Afrika ya Mashariki waliokuwa madarakani – Nyerere, Obote, Kenyatta na Mohamed Shamte Waziri Mkuu wa Zanzibar.

Sal Davis alikuwa na miaka 22 kijana mdogo.

Nyimbo hii ilikuwa maarufu ikipigwa sana TBC lakini ghafla yakatokea mapinduzi na serikali ya Mohamed Shamte ikaangushwa.

Nyimbo ikapigwa marufuku ikawa haipigwi tena TBC kwa kuwa Mohamed Shamte hakuwa tena Waziri Mkuu wa Zanzibar.

Sikuweza hata kwa mbali kufikiria kuwa iko siku miaka mingi baadae Sal Davis atakuwa rafiki yangu na atanialika Zanzibar mimi na mke wangu.

Nyumba kama mbili kutoka nyumba hii ya Mzee Abdulrahman ilikuwa nyumba ya Bi. Saada mama yake rafiki yetu Abdul Kigunya.

Hapa nyumbani kwao Mtaa wa Gogo na Mchikichi kulikuwa na baraza kubwa sana ya wazee wakicheza bao.

Hapa ndipo mimi na marafiki zangu tulipomuona Abdullah Kassim Hanga kwa mara ya kwanza.

Hii sasa ilikuwa mwaka wa 1964 na mapinduzi yashafanyika.

Hanga alikuwa akija sana pale kucheza bao akikaa chini kwenye jamvi na watu wa kawaida kabisa na akija pale kwa miguu hakuwa anakuja na gari.

Siku zile mawaziri waliokuwa na magari aina ya Humber.
Magari ya Kiingereza.

Nakumbuka kusimama Barabara ya Uhuru na Sikukuu karibu ya duka la Toti kuangalia msafara wa Mwalimu Nyerere na Karume ukipita ndani ya Rolls Royce wamesimama wanapungia watu msafara ukielekea Ikulu kwa shughuli ya kutia saini mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Wakati ule nikiwa mtoto wa miaka 12 haikunipitikia kama itafika siku nitakuwa na Mzee Aboud Jumbe nyumbani kwake mimi na wenzangu tunaiangalia picha hii aliyotutolea Mzee Jumbe picha ambayo alitaka iwe katika kitabu ‘’The Partnership,’’ alichokuwa ameandika kuhusu Muungano na matatizo yake.

Mimi na wenzangu tulikuwa wahariri na wachapaji wa kitabu hiki.
Huu ulikuwa mwaka wa 1994.

Miaka 30 ilikuwa imepita kutoka siku ile nikiwa mtoto mdogo wa miaka 12 nilipokuwa nimesimama pamoja na watu wengi nje ya duka la Toti tukiangalia msafara wa Nyerere na Karume ukienda Ikulu kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Abdullah Kassim Hanga alikuwa marehemu na Mzee Jumbe alinihadithia chanzo cha ugomvi wa Mzee Karume na ambao pengine ndiyo uliosababisha Hanga kupoteza nafasi yake katika serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mzee Jumbe alikuwako siku ambayo viongozi hawa wawili wa mapinduzi walipopishana kauli na kutoleana maneno makali.

Kisa hiki Mzee Jumbe amepata kukihadithia kama mara mbili hivi nami nikiwepo.

Hii ni kumbukumbu yangu ya kwanza ya mapinduzi na watu wa mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964.
 
Mimi nadhani tungewaalika kwenye huu mjadala wale waliopinduliwa wakakimbilia Oman na wale waliowapindua ndio sahii zaidi!!!Tatizo mzee karume hayupo ili na yeye atudhibitishie ukweli wa maneno ya mzee wetu jumbe!!!Mzee jumbe nar ni binadamu na ana mapenzi yake binafsi na utashi wake wa kisiasa pia!!!!!Tutaamini vipi maneno ya mzee jumbe pekee wakati wahusika wawili waliobakia ni marehemu
 
Na angekuwepo pia mzee wetu shamte atuelezee tuhuma za hizbu kuiba kura kwa kushirikiana na sultan ili afro shiraz party wasishinde uchaguzi!!!Tatizo wahusika wengi ni marehemu na wanaosema kwa niaba yao kila mmoja anavutia kwake
 
Sikueleza hayo kwa kukulenga wewe uamini.
Nimekueleza hayo kwa kukusudia wewe unifahamu.

Ikiwa wewe umjaaliwa uwezo wa kutambua ukishanifahamu akili yako itakupeleka kujua kuwa umepata mtu mwenye mengi.

Ukifika hapo hakuna kitakachohangaisha mikono yako ila kuteka maji kwenye kisima ili umalize kiu yako.

Wasomaji wenzako wengi waliposoma maneno haya wamekuja na maswali ya kutaka kupata elimu zaidi kutoka kwangu.

Katika maswali walioniuliza walitaka kujua ugomvi wa Hanga na Karume ulikuwa nini?

Hawa wenzako hawakunikamata uongo mimi wala Mzee Jumbe.
Wametulia ndani ya darsa kusoma.

Wanateka maji kisimani.
Watajua yale ambayo hawakuwa wanayajua.

Wewe huna ulichopata ila unanisoma hivi sasa na saikolojia yako inazidi kuteseka.

Bila shaka unajiuliza kama umepata kukutana na mtu kama Mohamed Said hapa JF.

Hili si suala la wewe kuniamini mimi au Mzee Jumbe.
Waliojaaliwa utambuzi hapa tulipofika wanajua kuwa nasema kweli.

Darsa langu moja lina wanafunzi zaidi ya 200 na wanaongezeka kila siku.
Hili si darasa la mwalimu mjinga.

Darasa hili anaingia mwanafunzi mjinga anatoka mwerevu.
Aghlabu aingie mjinga atoke mjinga.

Alhamdulilah.

wZDR5cToPK5wnpOoFJc1Z2Rln2aXEYB6gA9i7ilmRgbik5cen9dqhTP5q-Ibjdpx-71OBox0bUTUDrGUGmbuBPtw5qLlHUfuJmRjK27MgQfUZWoH2M1a4tF2MZOJlJRMSOZfJBClY8wtis8sX7aL0bHJq8yvTHJGnQOJkV2WBiAN977-z0mDQI4lh5VueOJvpdVUIi48aqZg_CY2ATVQEpvXSMcgObBqp0rXelmb8xFT_UkoXzIU6pPn0czwzQfjoR_C4aHaKMEqdSqV1wYZ3LkB_i1mzoImqVMONRWjzrqGCzKk5zoxyPcujI9eLLDDmlfWDxDBDvVrinRD6Entco-Uurgn14U7FGUiWQiuwIwOIbOvRz3kekF01GDUpwtdPOPVpzTaCeVQ3XZ3FHybcLIACTHTezEM3HENEZ-nwdr36dWdnSi_mG5pYb3ywNSrUTfPvNbB2QHfIYUXuZw9ducY41YD8r1Zfy6coG73SiuWNjdCbPEYwsnVC8eYWDYWV3Vf-hOhZlF1VrTOPeEnlWqjUGh1oL5C472_u31jUwMGIrlkPF2_hBfWKfT_xgec93BzhiYlpvUb08Cxo3-t6iD6Q8-qzxWc=w235-h178-no

Mzee Aboud Jumbe na Mwandishi​
 
Nelson...
Sikueleza hayo kwa kukulenga wewe uamini.

Nimekueleza hayo kwa kukusudia wewe unifahamu.

Ikiwa wewe umjaaliwa uwezo wa kutambua ukishanifahamu akili yako itakupeleka kujua kuwa umepata mtu mwenye mengi.

Ukifika hapo hakuna kitakachohangaisha mikono yako ila kuteka maji kwenye kisima ili umalize kiu yako.

Wasomaji wenzako wengi waliposoma maneno haya wamekuja na maswali ya kutaka kupata elimu zaidi kutoka kwangu.

Katika maswali walioniiliza walitaka kujua ugomvi wa Hanga na Karume ulikuwa nini?

Hawa wenzako hawakunikamata uongo mimi wala Mzee Jumbe.

Wametulia ndani ya darsa kusoma.
Wanateka maji kisimani.

Watajua yale ambayo hawakuwa wanayajua.

Wewe huna ulichopata ila unanisoma hivi sasa na saikolojia yako inazidi kuteseka.

Bila shaka unajiuliza kama umepata kukutana na mtu kama Mohamed Said hapa JF.

Hili si suala la wewe kuniamini mimi au Mzee Jumbe.

Waliojaaliwa utambuzi hapa tulipofika wanajua kuwa nasema kweli.

Darsa langu moja lina wanafunzi zaidi ya 200 na wanaongezeka kila siku.

Hili si darasa la mwalimu mjinga.
Darasa hili anaingia mwanafunzi mjinga anatoka mwerevu.

Alhamdulilah.
Hapana mzee wangu Saidi hutuwezi kusema kua alichokisema mzee wetu jumbe ni sahii!!!Busara tungepata upande wa mzer wetu karume pia katika hili
 
Mimi mwalimu nimeshasomesha.

Siko katika ubishi nani mkweli kati ya Jumbe na Karume au hata mimi haya hayakuwepo nimejitungia.

Nishatoa elimu ambayo wewe hukuwanayo.
Tujadili mengine.
 
Na angekuwepo pia mzee wetu shamte atuelezee tuhuma za hizbu kuiba kura kwa kushirikiana na sultan ili afro shiraz party wasishinde uchaguzi!!!Tatizo wahusika wengi ni marehemu na wanaosema kwa niaba yao kila mmoja anavutia kwake
Nelson...
Chini ya Waingereza hapakuwa na wizi wa kura.

ASP walikuwa wanashindwa kupitia gerrymandering.
Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi.

gerund or present participle: gerrymandering
  1. manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class.
    • achieve (a result) by gerrymandering.
      "an attempt to gerrymander the election result"
94b76de976c30d85aef11463201e45b4ee424e0fdf991ff58922c728175b731f.png

Jifunze kwanza historia ya Zanzibar.
 
Nelson...
Mimi mwalimu nimeshasomesha.

Siko katika ubishi nani mkweli kati ya Jumbe na Karume au hata mimi haya hayakuwepo nimejitungia.

Nishatoa elimu ambayo wewe hukuwanayo.
Tujadili mengine.
Sawa mzee wangu Said nimekubaliana na wewe na wengine wanaoniaminisha kua mzee wetu karume alikua baradhuli dikteta na hakufaa kua kiongozi bali kiongozi alifaa kua Mzee shamte na Sultan!!!Tujadili tu mengine tu mzee wangu
 
Nelson...
Chini ya Waingereza hapakuwa na wizi wa kura.

ASP walikuwa wanashindwa kupitia gerrymandering.
Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi.

gerund or present participle: gerrymandering
  1. manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class.
    • achieve (a result) by gerrymandering.
      "an attempt to gerrymander the election result"
94b76de976c30d85aef11463201e45b4ee424e0fdf991ff58922c728175b731f.png

Jifunze kwanza historia ya Zanzibar.
Hii historia imeandikwa na nsni mzee wangu!!!!Kama ni wakoloni wa kiingereza au walowezi wa kiarabu sitrgemei jipya ila wacha niisome mzee wangu nipate elimu!!
 
Back
Top Bottom