Ni kweli kaka pamoja na tofauti zetu huyu ndugu yangu mzee said mohamed ni mtu bora kabisa na muungwana wa maneno na vitendo.Nje ya hili jukwaa la JF kwangu mimi mzee said ni kaka bora kabisa
Viongozi wetu wote wakuu toka pande zote mbili hilo wanalitambua hili, na ndio maana viongozi wetu wote wanazungumza lugha moja kuwa huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
TAAZIA: MOHAMED MLAMALI ADAM MIMI NA MWALIMU WANGU Mohammed Said Siku moja nimepita ofisini kwa Bwana Ally Sykes na katika mazungumzo yetu akaniambia kuwa alikuwa siku ya pili anasafiri anakwenda London. Palepale ikanijia fikra nimpe Bwana Ally makala yangu ambayo nilikuwa nimeandika kuhusu...
DOWN MEMORY LANE (SEHEMU YA PILI) INAENDELEA... IKIMWANGAZA SALIM HIMIDI Kushoto ni Salim Himidi, Ahmed Rajab na Waziri Simba Trafalgar Square London 1960s katikati Waziri wa Nchi za Nje wa Comoro Salim Himidi akihutubia UNO Rafiki zangu wawili wote ni waandishi wa sifa na wote wakiwa Ulaya...
Nakutumia mawasiliano yangu kakangu ili wakati mwingine tujuliane hali nje ya jamii forum.Kaka bora ni yule anaelewa na kusikiliza hoja za wadogo zake hata kama hakubaliani nao katika baadhi ya mambo
Hili ndio swali gani?!. Mtu ni kwao ndie asili yake, Mreno, Mzungu na Mwarabu wanakuja wanamkuta, halafu unailiza walifika lini kwao?.
Swali rasmi lingekuwa Mzungu, Mhindi na Mwarabu, walifika lini Pwani ya East Africa na walimkuta nani?.
Mjerumani angalau ameweka kumbukumbu, alimkuta Sultan Mangungo akampa mkataba kumtawala, japo mkataba ulikuwa ni wa kimagumashi lakini ni mkataba!.
Mwarabu alivyotoka zake Oman ile 1732, alivitwaa visiwa vya Zanzibar na Pemba kama ameviokota yaani havina mwenyewe!.
Mjerumani ndio ile 1884, akaikabidhi Pwani ya East Africa kwa Sultan of Zanzibar kama himaya yake!. Laiti kungekuwepo watu walioshuhudia Sultan of Zanzibar alimfanya nini Mwinyimkuu!, kusinge kalika!.
P
My dear, that is a very simple question to answer.
Uliza kuwa Wa-Oman walipowashinda wareno na wakajitangaza wao kuwa ndio new rulers, waliwatawala watu gani? Au kulikuwa hakuna raia? Au waliitawala ardhi tupu bila ya watu?
Ukijibiwa ndio utajua waliwatawala nani - hao ndio Wazanzibari - hao ndio waliokuwa wakiwaghilibu kwa marobota ya tende walizokuwa wakija nazo kutoka Yemen na Oman.
Hili ndio swali gani?!. Mtu ni kwao ndie asili yake, Mreno, Mzungu na Mwarabu wanakuja wanamkuta, halafu unailiza walifika lini kwao?.
Swali rasmi lingekuwa Mzungu, Mhindi na Mwarabu, walifika lini Pwani ya East Africa na walimkuta nani?.
Mjerumani angalau ameweka kumbukumbu, alimkuta Sultan Mangungo akampa mkataba kumtawala, japo mkataba ulikuwa ni wa kimagumashi lakini ni mkataba!.
Mwarabu alivyotoka zake Oman ile 1732, alivitwaa visiwa vya Zanzibar na Pemba kama ameviokota yaani havina mwenyewe!.
Mjerumani ndio ile 1884, akaikabidhi Pwani ya East Africa kwa Sultan of Zanzibar kama himaya yake!. Laiti kungekuwepo watu walioshuhudia Sultan of Zanzibar alimfanya nini Mwinyimkuu!, kusinge kalika!.
P
Viongozi wetu wote wakuu toka pande zote mbili hilo wanalitambua hili, na ndio maana viongozi wetu wote wanazungumza lugha moja kuwa huu muungano wetu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Mdogo wangu nina wasiwasi na uelewa wako wa mambo na ndio maana kwenye mada hii ya mzee wangu na jirani yangu Said mohamed waga najadiliana nae zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.Lakini sikupingi hoja zako mdogo wangu,upo sahii kabisa kwa umri wako na uwelewa wako wa historia ya wabantu.
Nina wasiwasi na uelewa wako wa historia ya wabantu.Nadhani itakua busara kama nikikupa darasa la pekee kuhusu wabantu ukanda huu.Afu kisomi maneno kama"Porojo"ni hali ya kuonyesha uduni wa uungwana na mihemuko hasi.Tumia lugha nzuri toa hoja au swali utajibiwa.
History ya Pwani ya Azania iko open sana mji wa kwanza ni Kilwa ukanunuliwa toka kwa wenyeji karne ya 15 na Hassan Bin Amir kwa bei ya kipande cha kitambaa kuzunguka kisiwa chote cha Kilwa!.
Wenyeji halisi wa Zanzibar ni Wahadimu, wakiongozwa na Ukoo wa Mwinyi Mkuu. Mwinyi Mkuu akaomba usaidizi wa Waarabu kumpiga Mreno aliyetaka kuviteka visiwa hivyo hivyo Mwarabu akakubali na kusaidia kuwapiga Wareno, wakashinda vita. Baada ya kuwashinda Wareno, sijui walimfanya nini Mwinyi Mkuu lakini ghafla mara Sultan Seyyid Said wa Oman akaihamishia Sultanate yake from Oman to Zanzibar na kujitwalia visiwa hivyo kama ameviokota havina mwenyewe!.
Na kiukweli Sultan ali relax kabisa kwa kujua wame u wipe out ukoo wote wa Mwinyi Mkuu na kujiona Zanzibar ni mali yao!. Kumbe damu ya ukoo wa Mwinyi Mkuu ilikuwa inatokata, reincarnation ya Mwinyi Mkuu ikaibuka kupitia kwa John Okello, ile January 12, 1964, akafanya mambo Sultan Jamsid akatimka, wenye Zanzibar yao wakaitwaa nchi yao!.
P
Shujaa wa Mapinduzi ni Abed Amani Karume, John Okello alitangulizwa tuu kama chambo kwa Karume kujibanza Bara, just incase zoezi lita fail. Okello alipewa kazi ya kutangaza tuu pale Karume House!, kwa kujua Karume hayupo, baada ya kutangaza, Okello akajitangaza ni yeye kiongozi wa Mapinduzi, akajiita field marshal na kuwazidi kete wenzake, tena Okello amshukuru sana Julius, almanusura Karume amfanye mbaya Nyerere akamuokoa!.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.