Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Leo katika pitapita zangu kwenye mitandao nikaingia bbc sports ilinikapige kura ya epl player of the year nimekuta wameshafunga mshindi anatangazwa baadae leo hii tarehe 22 April 2018
Matokeo niliyoyaona nikama yanavyoonekana hapo chini
UPDATES
Mchezaji wa Klabu ya Liverpool ya Uingereza, Mohammed Salah ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Kiume ya Professional Footballers' Association(PFA)
Salah amewabwaga aliokuwa nashindana nao ambao ni, Kevin De Bruyne, David De Gea, Harry Keane na David Silva
Salah anakuwa mchezaji wa kwanza raia wa Misri na mchezaji wa 7 wa Liverpool kushinda tuzo hiyo
Aidha, Mchezaji wa Manchester City Leroy Sane ameshinda tuzo ya mchezaji bora mdogo katika tuzo hizo za PFA