Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

Hongera sana Mwafrika mwenzetu Mo salaa...umestahili kwakweli,,Nampa pole pia De bruyn moja kati ya wachezaji nao wakubali sana pale epl + Leroy sane and David Silver! Hawa viumbe hatari sana, ingawa ligi yao haivutii kiviile ukilinganisha na La liga.
 
Uko sahihi kabisa, na mimi pia nimeliona hili. Yaani kura zikiwa ni za kupigwa na mashabiki, kukawa na mchezaji wa Liverpool usitegemee tofauti. Mashabiki wa Liverpool wana nguvu sana. Wewe umemsema Mane, mimi naweza sema hata akiwekwa Henderson na Messi usishangae Henderson akashinda, ili mradi tu kura zipigwe na mashabiki!!
Acha unaz ww wazungu hawana madudu kinachoonekana ndicho kinachotokea salah amefanya makubwa mno sasa ultakapewe nn???
 
Kiwango mkuu. punguza kutizama mpira kishabik, tuliza akili utizame mpira.

Katika miaka 10 iliopita hamna kama David Silva ndani Ya EPL.
Si tuzo ya mchezaj bora wa miaka 10 ni mwaka 2018 tumia akiri ww
 
unafikia hatua kumfananisha ngolo Kante na Silva? hua unatizamaga vipi mpira mkuu
Hivi unataka kuniambia kwa msimu uliopita Silva alistahili tuzo mbele ya Kante?
Silva ni mzuri hatukatai ila kuna wazuri zaidi yake na ndio maana tuzo anapishana nazo.
 
Back
Top Bottom