Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Leo katika pitapita zangu kwenye mitandao nikaingia bbc sports ilinikapige kura ya epl player of the year nimekuta wameshafunga mshindi anatangazwa baadae leo hii tarehe 22 April 2018

Matokeo niliyoyaona nikama yanavyoonekana hapo chini

UPDATES
Mchezaji wa Klabu ya Liverpool ya Uingereza, Mohammed Salah ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Kiume ya Professional Footballers' Association(PFA)

Salah amewabwaga aliokuwa nashindana nao ambao ni, Kevin De Bruyne, David De Gea, Harry Keane na David Silva

Salah anakuwa mchezaji wa kwanza raia wa Misri na mchezaji wa 7 wa Liverpool kushinda tuzo hiyo

Aidha, Mchezaji wa Manchester City Leroy Sane ameshinda tuzo ya mchezaji bora mdogo katika tuzo hizo za PFA

Tuwe wa kweli, ulitaka awe Lukaku?
Mkuu sina maana kwamba nilitaka awe mtu tofauti ila naongelea nguvu ya mashabiki wa Liverpool kwenye upigaji wa kura, ndio ukweli huo yani ata umpange messi na mane utashangaa mane anaibuka mshindi

mfano mzuri kwenye goli bora la week akashinda salah na kumpiku ronaldo kwenye ile bycycle kick obviously sio kweli kwamba goli la salah lilikuwa zuri kuliko la ronaldo
 
Uko sahihi kabisa, na mimi pia nimeliona hili. Yaani kura zikiwa ni za kupigwa na mashabiki, kukawa na mchezaji wa Liverpool usitegemee tofauti. Mashabiki wa Liverpool wana nguvu sana. Wewe umemsema Mane, mimi naweza sema hata akiwekwa Henderson na Messi usishangae Henderson akashinda, ili mradi tu kura zipigwe na mashabiki!!
 
Ndio hivo mkuu, ukiacha sifa yao ya kuwa Loyal fans hii ndio sifa yao ingine inayofanya wawe tofauti ya mashabiki wa Liverpool team zingine wakifuatiwa na mashabiki wa Arsenal nao kwenye kupiga kura wako vizuri
 
Unaongea kwa mapenzi au unatizama kiwango?

Kiwango mkuu. punguza kutizama mpira kishabik, tuliza akili utizame mpira.

Katika miaka 10 iliopita hamna kama David Silva ndani Ya EPL.
 
Kiwango mkuu. punguza kutizama mpira kishabik, tuliza akili utizame mpira.

Katika miaka 10 iliopita hamna kama David Silva ndani Ya EPL.
Kwa miaka kumi iliyopita?
Vipi kuhusu Ngolo Kante ambaye alikuwa kwenye kiwango bora kwa misimu miwili iliyopita?
Silva yuko vizuri msimu huu kwa nionavyo mimi, ila sio kwa miaka kumi iliyopita!
 
Kiwango mkuu. punguza kutizama mpira kishabik, tuliza akili utizame mpira.

Katika miaka 10 iliopita hamna kama David Silva ndani Ya EPL.
Kwani wanatafuta mchezaji wa miaka 10 au wa msimu?
 
Kwa miaka kumi iliyopita?
Vipi kuhusu Ngolo Kante ambaye alikuwa kwenye kiwango bora kwa misimu miwili iliyopita?
Silva yuko vizuri msimu huu kwa nionavyo mimi, ila sio kwa miaka kumi iliyopita!

unafikia hatua kumfananisha ngolo Kante na Silva? hua unatizamaga vipi mpira mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…