Mohammed Salah anyakuwa tuzo ya Mchezaji boraya PFA kwa msimu wa 2017/2018

Hongera sana Mwafrika mwenzetu Mo salaa...umestahili kwakweli,,Nampa pole pia De bruyn moja kati ya wachezaji nao wakubali sana pale epl + Leroy sane and David Silver! Hawa viumbe hatari sana, ingawa ligi yao haivutii kiviile ukilinganisha na La liga.
 
Acha unaz ww wazungu hawana madudu kinachoonekana ndicho kinachotokea salah amefanya makubwa mno sasa ultakapewe nn???
 
Kiwango mkuu. punguza kutizama mpira kishabik, tuliza akili utizame mpira.

Katika miaka 10 iliopita hamna kama David Silva ndani Ya EPL.
Si tuzo ya mchezaj bora wa miaka 10 ni mwaka 2018 tumia akiri ww
 
unafikia hatua kumfananisha ngolo Kante na Silva? hua unatizamaga vipi mpira mkuu
Hivi unataka kuniambia kwa msimu uliopita Silva alistahili tuzo mbele ya Kante?
Silva ni mzuri hatukatai ila kuna wazuri zaidi yake na ndio maana tuzo anapishana nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…