Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Naangalia Al-Jazeera
Naona Kiongozi wa Waasi wa Hamas, Mohammed Sinwar ameliwa Kichwa na yeye ameshakutana na wale Mabikira 72
Ikumbukwe jana tu Msemaji wa Hamas naye amewahi kukutanishwa na wale Mabikira 72
Wakati hayo yakiendelea Waziri Mkuu wa Yemen anayeshirikiana na Houth, Kikundi cha magaidi naye ameliwa Kichwa kashakutana na Mabikira wake 72
Hivi unaweza kujiuliza haya matukio yote yanafantwa na Israek ndani ya saa 24. Wanatumia njia gani?
Nawaza tu kuwepo na ongezeko la wale Mabikira 72 maana speed ya wanaokwenda ni kubwa sana sana kuweza kuwagombania wote
Haya nendeni mkapunzike huko na mabikira zenu, mmevuna mlichopanda