Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa mpwaaaaa yaaan m nawaoneaaa hurumaa wale mabikiraa wanavyoobakwaaa tu dah sio kwa speed hiiJuzi juzi hapa tumetoka wasifia hawa jamaa kuwa wataifuta Israel. Wanafutwa wao? Imeniuma sana. Sisi Makobazi hatuna bahati kabisa.
Mkuu, mbona hoja yako umeiacha angani. Hatujui kama unatu:- Eleza, uliza, unashangaa; maana mwisho wa hoja yako haina alama muhimu za kukamilisha sentence yako kama hizi (., ?, !, π.Watanzania tumefurahi π
Sentensi imekamilika hy, kuwa Watanzania wamefurahi, sasa Ww hujaelewa nn?Mkuu, mbona hoja yako umeiacha angani. Hatujui kama unatu:- Eleza, uliza, unashangaa; maana mwisho wa hoja yako haina alama muhimu za kukamilisha sentence yako kama hizi (., ?, !, π.
Ndio sababu hatujaweka matumaini yetu kwenye maisha ya dunia yenye maumivu kwa walimwengu wote.Hakuna watu wanaishi kwa maumivu makali kihisia kama wavaa Kobazi
Tambua wameshikilia bado Maiti ya Mtanzania kule Gaza.. so Tanzania kwa namna moja au Nyingine ni wahanga wa Hamas. na kiongozi ni mmoja tu Netanyahu ndie anampigania Mwili wa Joshua urejee Tanzania uzikwe viongozi wa Kwetu ndio wale wa Mnyaaz wapo bega kwa Bega na Hamas yaani kama hawamjui Joshua wala uchungu nae... Ningekuwa Kiongozi ningeshamfurusha Balozi wa Palestina au kumuweka Ndani hadi Mwili wa Joshua urejee Tanzania tungewaona kama angeachwa hadi leo Pumbavu zao Hamas na Arabs.Watanzania tumefurahi π
Duh hii c ishu ya muda mrefu nadhani tangu mwaka jana, huo sio mwili tena.Tambua wameshikilia bado Maiti ya Mtanzania kule Gaza.. so Tanzania kwa namna moja au Nyingine ni wahanga wa Hamas. na kiongozi ni mmoja tu Netanyahu ndie anampigania Mwili wa Joshua urejee Tanzania uzikwe viongozi wa Kwetu ndio wale wa Mnyaaz wapo bega kwa Bega na Hamas
Waeleze wajinga wenzako Mtanzania aliuliwa na Waisrel, Hamas wachukue mwili wa Mtanzania wa nini kama wanae basi alikuwa mwanjeshi.Tambua wameshikilia bado Maiti ya Mtanzania kule Gaza.. so Tanzania kwa namna moja au Nyingine ni wahanga wa Hamas. na kiongozi ni mmoja tu Netanyahu ndie anampigania Mwili wa Joshua urejee Tanzania uzikwe viongozi wa Kwetu ndio wale wa Mnyaaz wapo bega kwa Bega na Hamas yaani kama hawamjui Joshua wala uchungu nae... Ningekuwa Kiongozi ningeshamfurusha Balozi wa Palestina au kumuweka Ndani hadi Mwili wa Joshua urejee Tanzania tungewaona kama angeachwa hadi leo Pumbavu zao Hamas na Arabs.