ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Muhahahahaaaaaaasafi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
Mtoto wa KIUME kuwa MNAFIKI haipendezi..!Safi sana ila kijana asikimbilie sana collabo ajitahidi kwanza kufanya mazoezi ya kuimba live mimi kama shabiki yake matusi aliyo nifanyia jana pale stagini na yashukuru sana!
-Nyerere-
Mziki sio lugha tu! mtu unaweza usielewe lugha ila melody nzuri inatosha kufanya mziki wako ukapendwa!safi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]safi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
Bila screenshot yake hainogi
πππππππππππππsafi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
πππππππππππππππππππππππππππSafi sana ila kijana asikimbilie sana collabo ajitahidi kwanza kufanya mazoezi ya kuimba live mimi kama shabiki yake matusi aliyo nifanyia jana pale stagini na yashukuru sana!
-Nyerere-
+kidogo ft psquareMwambie ajitahidi kuimba vya maana, anayo bahati ya kupata collabo lakini anacho imba sasa Mmmh.
NB. international collabo alizofanya poa ni Make me sing na AKA, yemi alade remix alitisha, coco baby na ile ya bracket.