Mohombi Kufanya Collabo na Diamond platnumz

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Tumezoea Collabo nyingi za kimataifa Diamond huwa anakuwa wa kwanza kusema Ila safari hii Mohombi ndo kaanza kwa kupost katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ana kazi na Diamond!

Mzee wa coconat tree tusubiri kwa hamu na tumuombee Diamond collabo zote zifanikiwe na ziwe kali!
 
Nafasi nyingine hiyo ya kuongeza wigo wa mashabiki!!!
 
Safi sana ila kijana asikimbilie sana collabo ajitahidi kwanza kufanya mazoezi ya kuimba live mimi kama shabiki yake matusi aliyo nifanyia jana pale stagini na yashukuru sana!

-Nyerere-
Mtoto wa KIUME kuwa MNAFIKI haipendezi..!
 
safi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
Mziki sio lugha tu! mtu unaweza usielewe lugha ila melody nzuri inatosha kufanya mziki wako ukapendwa!

Labda. kama umeamua kujitoa fahamu tu!
 
safi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie ajitahidi kuimba vya maana, anayo bahati ya kupata collabo lakini anacho imba sasa Mmmh.
NB. international collabo alizofanya poa ni Make me sing na AKA, yemi alade remix alitisha, coco baby na ile ya bracket.
 
safi ajitahid safar hii kuimba mistali ya kingereza ili apate eleweka kimataifa kama wiz kid asiimbe mambo yake sjui mbigiri mbigiri ndani kwa moto hataharbu nymbo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Safi sana ila kijana asikimbilie sana collabo ajitahidi kwanza kufanya mazoezi ya kuimba live mimi kama shabiki yake matusi aliyo nifanyia jana pale stagini na yashukuru sana!

-Nyerere-
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kweli kabisa kwenye make me sing na alive Mondi alitisha sana.
 
Mwambie ajitahidi kuimba vya maana, anayo bahati ya kupata collabo lakini anacho imba sasa Mmmh.
NB. international collabo alizofanya poa ni Make me sing na AKA, yemi alade remix alitisha, coco baby na ile ya bracket.
+kidogo ft psquare
+nana ft Mr flavour
+sweet lov na akothee
 
Back
Top Bottom