MOI yatii agizo la Rais kuendelea kutoa huduma Nanenane hadi Agosti 10, 2025

MOI yatii agizo la Rais kuendelea kutoa huduma Nanenane hadi Agosti 10, 2025

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
118
Reaction score
214
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo na Muhimbili (MOI) imetii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kwenye Maonesho ya Nanenane, Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, hadi Agosti 10, 2025.

Awali, huduma hizo zilipangwa kuhitimishwa tarehe 8 Agosti 2025, lakini kufuatia agizo la Rais, MOI itaendelea kuhudumia wananchi kwa siku mbili zaidi ili kuhakikisha watu wengi zaidi wananufaika na huduma hizo muhimu.
IMG-20250809-WA0067.jpg
IMG-20250809-WA0065.jpg
IMG-20250809-WA0064.jpg
IMG-20250809-WA0066.jpg
IMG-20250809-WA0068.jpg
 
Back
Top Bottom