Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Niseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu.
Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu ili kumtofautisha na wengine. Mayele aitwe mshambuliaji na Kibu Dennis naye aitwe mshambuliaji ni kuukosea heshima mchezo wa soka.
Nikipata nafasi ya kukutana na Moses Katumbi nitamuuliza, Mheshimiwa umejisikiaje kucheza na timu kubwa?