Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kama inauma vile....Wazaramo wanasema "USINENE UKAMALA".
Uwe UNAWEKA Akiba ya Maneno.
Unataka kumaliza yote siku Moja.
TAFUTA HEKIMA.
UWE NA KIASI.
FURAHA ISIPITILIZE SANAAAAAA....
Kumbuka mechi hazijaishaNiseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu.
Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu ili kumtofautisha na wengine. Mayele aitwe mshambuliaji na Kibu Dennis naye aitwe mshambuliaji ni kuukosea heshima mchezo wa soka.
Nikipata nafasi ya kukutana na Moses Katumbi nitamuuliza, Mheshimiwa umejisikiaje kucheza na timu kubwa?
Nazani nyie Simba mlitakiwa mjifunze kwanza haya mloandikaWazaramo wanasema "USINENE UKAMALA".
Uwe UNAWEKA Akiba ya Maneno.
Unataka kumaliza yote siku Moja.
TAFUTA HEKIMA.
UWE NA KIASI.
FURAHA ISIPITILIZE SANAAAAAA....
Hata si tunalijua hiloKumbuka mechi hazijaisha
atakujibu ndio mpiraNiseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu.
Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu ili kumtofautisha na wengine. Mayele aitwe mshambuliaji na Kibu Dennis naye aitwe mshambuliaji ni kuukosea heshima mchezo wa soka.
Nikipata nafasi ya kukutana na Moses Katumbi nitamuuliza, Mheshimiwa umejisikiaje kucheza na timu kubwa?
Nyie mmemfunga lini uyo mazembe?Sasa mazembe na yanga ipi timu kubwa...yanga kumfunga mazembe nyie kwenu ni kufikia malengo..
TunajuaKumbuka mechi hazijaisha
Unaweza kufananisha mafanikio ya uto na mazembe? ...au ndo furaha Tu[emoji23]...mazembe hii imejichokea sio Kama ya kipindi cha nyuma hata Azam wangewafungaNiseme nini kuhusu Yanga Africa, niambieni niseme nini? Mpaka kesho najiuliza hivi inawezekana vipi kuwa shabiki wa soka bila kuipenda Yanga? Sijawahi kupata jibu.
Yanga ni furaha, Yanga ni upendo, Yanga ni kielelezo cha ladha halisi ya soka. Ifike hatua huyu Mayele tumtafutie jina lake maalumu ili kumtofautisha na wengine. Mayele aitwe mshambuliaji na Kibu Dennis naye aitwe mshambuliaji ni kuukosea heshima mchezo wa soka.
Nikipata nafasi ya kukutana na Moses Katumbi nitamuuliza, Mheshimiwa umejisikiaje kucheza na timu kubwa?
Acha tufurahi kuwapiga hao hao vibondeUnaweza kufananisha mafanikio ya uto na mazembe? ...au ndo furaha Tu[emoji23]...mazembe hii imejichokea sio Kama ya kipindi cha nyuma hata Azam wangewafunga