Moja kati ya ndoto za kila kijana ni kuwa na maisha mazuri

Z K Ahmad

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
29
Reaction score
36
Je, Kama Kijana umejipanga vipi kuyaandaa hayo maisha_ au imekuwa Ni Kama simulizi kwa vijana wenzio bila kuwa na mipango_.

Vijana tujiajiri! Vijana tujitume_! Tuwe wabunifu, wapo vijana wanafuga na wanaendesha maisha yao vizuri na wengine wanalima, wengine wanajikongoja kwa Mambo madogo ya ujasiriamali_

Don't Loose Hope.
 
Kufanya kilimo bila mtaji ni matumizi mabaya ya akili
 
wazee kw wakazi wa mwanza,kagera ,songea na kigoma dagaa znauzwaje huko kwa debe naomben mxaada wakuu.
 
Jamani maisha sio polojo Kama za mleta mada
Watu wana project nyingi mchawi pesa
 
Me naamini kuwa na maisha mazuri it is a process.
Kwa mfano mimi muda huu napambana kutunza vihela nipate kiwanja then nijenge kanyumba baada ya hapo ninunue usafiri.Naamini nitaweza kikubwa uzima.Vinginevyo labda nipate zali la mentali.
 
No body cares about ur stories untill you win....even serikali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…