Moja kati ya ndoto za kila kijana ni kuwa na maisha mazuri

Moja kati ya ndoto za kila kijana ni kuwa na maisha mazuri

Z K Ahmad

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
29
Reaction score
36
Je, Kama Kijana umejipanga vipi kuyaandaa hayo maisha_ au imekuwa Ni Kama simulizi kwa vijana wenzio bila kuwa na mipango_.

Vijana tujiajiri! Vijana tujitume_! Tuwe wabunifu, wapo vijana wanafuga na wanaendesha maisha yao vizuri na wengine wanalima, wengine wanajikongoja kwa Mambo madogo ya ujasiriamali_

Don't Loose Hope.
 
wazee kw wakazi wa mwanza,kagera ,songea na kigoma dagaa znauzwaje huko kwa debe naomben mxaada wakuu.
 
Me naamini kuwa na maisha mazuri it is a process.
Kwa mfano mimi muda huu napambana kutunza vihela nipate kiwanja then nijenge kanyumba baada ya hapo ninunue usafiri.Naamini nitaweza kikubwa uzima.Vinginevyo labda nipate zali la mentali.
 
Back
Top Bottom