Moja ya harusi bora kabisa hii

Nimependa kila kitu hapa 🔥🔥🔥🔥
Sio sherehe watu 1000 wengine hata hujui wametokea wapi
Halafu meseji za kukumbushia michango hazikauki hadi inakuwa kero. Mwingine wala hamkuwa na ukaribu naye, mnapishana tu mtaani, akishakuletea kadi utakumbushwa hadi uchoke. Maofisini unakuta kadi 2, mtaani kadi 3, nyumbani ulikokulia kadi 1.
 
Hizo ni harusi za jamii yenye akili sana


Harusi ya majizo mmiliki wa EFM na Lulu ilikuwa kama hizo. Jiulize Je lulu na majizo hawana watu wa kuwachangisha ?, ama hawana network ?

Harusi ya Millard Ayo ilikuwa kama hizo, je millard Ayo hana watu wa kuwachangisha ?

Jibu ni hapana. Bali ni ushahidi wa wazi kwamba ni mfano wa vijana wenye akili kubwa Tanzania

Akili zao ndizo zimewafanya watajirike wakiwa wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…