Moja ya hatua unazoweza kufuata kwenye kujiandaa kuacha kazi na kujiajiri

Kuacha kazi sio mchezo,kuibadilisha mentality ya kuajiriwa kwenda kwenye kujiajiri ni kazi sana wengi wanafanya callable ajira na kujiajiri ,shida sio utaishi VIP kwa sababu hakuna MTU mwenye akili alikufa njaa ,ukiweza kuibadili mentality utafanikiwa kuacha kazi
 
Am so proud to be the one on this forum of great thinkers
 
Nmeajiliwa na wachina lakini nmewachoka vya kutosha
Nataka nijiajiri ila nawaza ipi fursa nzuri nisaidie wazo mkuu
 
Moja ya maneno yako mazuri kula kona omba udhuru haaaaa hili huwa linaniboa sana
 
This is very practical Chasha.....imetulia sana na ndio uhalisia wenyewe.
 
Mkuu Chasha ninafuatilia sana mada zako kuhusu umuhimu wa kujiajiri. Kitu kikubwa unachonifurahisha ni kwamba huishii kueleza tatizo tuu kama hulka ya watu wengi lakini pia unaeleza nini cha kufanya.

Mimi binafsi ninamueshimu sana mtu anayeongeza thamani ya bidhaa mfano mfugaji,mkulima, processing au manufacturing maana ninaamini anaweza kufikiri na kutenda zaidi ya aliyeajiriwa pia anaweza kwenda mbali zaidi.
 
Aiseeeeh,

Watoto mmmmmmmh wapo shule .
Duuuuuuh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…